KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
LOo, 'Mzizi wa Mbuyu'!Huku una soma bure kabisa la kwanza hadi chuo kikuu, na unatibiwa bure zahanati hadi muhimbili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sky, hii ungeipitishia kwa mtu kama 'Jingalao' kabla ya kumfikia uliyem'quote' hapo labda ingesaidia.Lakini pia Kuna baadhi yetu labda tungependa kumuuliza chochote,Kumsaidia Kifedha au Kumpa Pole Wasiliana nae 0764003143 / 0712263660.
Naelewa kabisa fikra zako mkuu!LOo, 'Mzizi wa Mbuyu'!
Sijui kama ataelewa ulichoandika hapo! Hata akielewa, najua atatafuta visababu kede kede vya kujifanya haelewi.
Nawe nikuulize mkuu: hivi 'mbuyu' una mzizi imara? 'Mbuyu' una 'tap root'?
Kama hivyo ndivyo sivyo, huu wako ukoje?
Watampigaje Mawe hao wana Kijiji wenzie? Nikukumbushe, huyo jamaa ni Mhaya wa Bukoba, Lwajabe na Kabendera na wenyewe ni Wahaya ujue.Nadhani huyu jamaa akitokea aende vijijini awaambie wapiga kura hayo maneno watampiga mawe. Kila alichokitaja kama sababu ni fabricated lies.
Ukiwa na kichwa kikubwa bila akili ni mzigo kwa miguu!Mpumbavu huyu anabwekea uchochoroni kwenye vyoo vya wazungu,pathetic
Yeye alikimbia kwa sababu alishasoma alama za nyakati . Wenzake wamepewa kesi feki za utakatishaji na kusoteshwa magerezani. Hivi Akwilina naye alikosa nini mpaka akauawa!?Kabisaaa,huyo ni mkimbizi wa kiuchumi,anajitengenezea legitimacy ya kuendelea kuishi scandinavia
Analipwa posho nono ya ukimbizi,jumba la bure na kazi nzuri tu kwenye NGo
Yule mwanafunzi Akwilina aliyeuawa angekuwa dada yako ingekuwa safi sana.Nadhani huyu jamaa akitokea aende vijijini awaambie wapiga kura hayo maneno watampiga mawe. Kila alichokitaja kama sababu ni fabricated lies.
Ukiwa na kichwa kikubwa bila akili ni mzigo kwa miguu!
Msikilize Zitto
Siku hizi US$ unabadilisha wapi? Kuitumikia Jamhuri si mchezo.Zitto is right. Hili suala la kesi za uhujumu uchumi sasa linatumiwa kisiasa na serikali ya CCM. Huo mfano wa mama wa laki sita unaonyesha tumefikia mahali pabaya sana.
Kimsingi, ukiwa na dola labda hamsini, na ukaibadilisha mitaani polisi akakukamata basi una kesi ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana. Umetakatisha fedha.
Mbona Asia hakuna kilio cha ukoloni mambo leoMaisha maisha ndiyo yetu...Mwafrica ndio furaha yake kuu.
Kwa kisingizo cha kupigania Ukoloni mamboleo.
Black market zimejaa tele,ukiweza dhibiti vijiwe vya gongo utaweza dhibiti bureauSiku hizi US$ unabadilisha wapi? Kuitumikia Jamhuri si mchezo.
Kimsingi zinapaswa kubadilishiwa benki baada ya kufunga maduka ya fedha. Katika nchi yenye utalii kama Tanzania watu kupewa tips za dola mbili au tano au kumi ni kitu cha kawaida, na wengi hawajui kuzibadilisha kienyeji ni kosa. Hata mipakani kama Tunduma, Namanga, Tarakia etc, uwe mwangalifu sana kubadilisha hela za Kenya au TZ au Zambia kienyeji. Polisi akikukamata akakufungulia mashitaka basi ni kosa litakalokuwa chini ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha. Na Watanzania wengi hawajaelimishwa juu ya hili na hivyo kutoa mwanya kwa polisi kuitumia nafasi hii kujinufaisha kwa kuwatishia watu kesi za uhujumu uchumi.Siku hizi US$ unabadilisha wapi? Kuitumikia Jamhuri si mchezo.
SijuiMbona Asia hakuna kilio cha ukoloni mambo leo
Neno ukoloni mambo Leo sijui mabeberu utumiwa na watawala wa kiafrica kuahalilisha kushindwa kwao kuinua uchumi wa nchi zaoSijui
Kumbe wewe ni Mmoja wetu...😎😎 tutakao nufaika Kipindi flani huko mbeleni.Neno ukoloni mambo Leo sijui mabeberu utumiwa na watawala wa kiafrica kuahalilisha kushindwa kwao kuinua uchumi wa nchi zao