SOKONOYI
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 237
- 222
Hapa kosa la lulu cyo kuliwa uroda, bali kosa la lulu ni kuua bila kukusudia.lulu hakuwa na kosa ila marehemu ndiye aliyestahili hukumu kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo ila kwa kuwa jamii yetu ni ya kuwaonea wanawake ndo maana unazungumza hivyo....
wengine wanasema ni mshahara wa kufanya umalaya katika umri mdogo lakini je hao watu wazima waliokuwa wanamrubuni huku wakijua umri wake si sahihi
, nao hawastahili adhabu au kwa kuwa ni wanaume ????.....
binafsi yangu naona lulu alikuwa mtoto na alikuwa amefikia umri wa kujaribu kila kitu plus umaarufu aliokuwa nao ndio ukamponza mazima lakini vipi huko mitaani kwa mabinti wa miaka 17 ambao wana misururu ya mabwana na wakijiuza kabisaaa , je nao hawastahili hukumu au kwa kuwa hawakukutwa na mtihani huo...
kama wewe ni mtakatifu sana ambaye hukuwahi zini na mwanamke asiye mkeo au kufanya dhambi yoyote ile na uwe wa kwanza kutoa hukumu katika hili