Maneno ya Mwijaku baada ya kumtembelea Lulu gerezani

lulu hakuwa na kosa ila marehemu ndiye aliyestahili hukumu kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo ila kwa kuwa jamii yetu ni ya kuwaonea wanawake ndo maana unazungumza hivyo....

wengine wanasema ni mshahara wa kufanya umalaya katika umri mdogo lakini je hao watu wazima waliokuwa wanamrubuni huku wakijua umri wake si sahihi
, nao hawastahili adhabu au kwa kuwa ni wanaume ????.....

binafsi yangu naona lulu alikuwa mtoto na alikuwa amefikia umri wa kujaribu kila kitu plus umaarufu aliokuwa nao ndio ukamponza mazima lakini vipi huko mitaani kwa mabinti wa miaka 17 ambao wana misururu ya mabwana na wakijiuza kabisaaa , je nao hawastahili hukumu au kwa kuwa hawakukutwa na mtihani huo...

kama wewe ni mtakatifu sana ambaye hukuwahi zini na mwanamke asiye mkeo au kufanya dhambi yoyote ile na uwe wa kwanza kutoa hukumu katika hili
Hapa kosa la lulu cyo kuliwa uroda, bali kosa la lulu ni kuua bila kukusudia.
 
Namuona mtoto wakajala na monalisa wakiwa wanafuata nyayo za dada yao lulu,

Sijui kwanini wazazi wanashindwa ku-take control na watoto wao,

Inawezekana vipi mtoto mdogo kisa tu kauigizaji ka kijinga kijinga unamtuhusu azulure kwenye kumbi za starehe 24/7

Anachokipata lulu ni matokeo ya wazazi kutoku-play nafasi yao vizuri mpaka mwanao anateseka
Kama mimi namsaka sana mtoto wa Kajala maana ile mipaja ya mama yake kwenye Biko mshiko nje njeeeeee inanipa wkt mgumu sana
 
Mi nashangaa kabisa wengine sio wafungwa wa kuonea huruma??
 
Kama mimi namsaka sana mtoto wa Kajala maana ile mipaja ya mama yake kwenye Biko mshiko nje njeeeeee inanipa wkt mgumu sana
Mtu mzima yule sasa,

Watoto wenzie hawataki tena,

Kwa sasa wanapakua watu wazima tu
 
na mm nitamtembelea nakashuduie jinsi alivyopauka na kusuka mabutu...kulala saa kumi, kulala kabisa mchongoma ni saa 3 usiku, hapo ni baada ya nyapala kuwapa lecture ya nguvu kuhusu usafi wa choo...kwamba hakuna kunya usiku, kunya kabla hujaingia kulala...kunya tu endapo una tumbo la kuhara,....lecture ya kama masaa 2 hivi kumbe inahusu choo na kukimbia haraka mkiamka asubuhi dah...Lulu weee
Kule ukishakuwa mfungwa si wananyolewa upara??
 
Hakusema hayo baada ya kujisahau na kumpiga vijembe mama kanumba.
 
lulu hakuwa na kosa ila marehemu ndiye aliyestahili hukumu kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo ila kwa kuwa jamii yetu ni ya kuwaonea wanawake ndo maana unazungumza hivyo....

wengine wanasema ni mshahara wa kufanya umalaya katika umri mdogo lakini je hao watu wazima waliokuwa wanamrubuni huku wakijua umri wake si sahihi
, nao hawastahili adhabu au kwa kuwa ni wanaume ????.....

binafsi yangu naona lulu alikuwa mtoto na alikuwa amefikia umri wa kujaribu kila kitu plus umaarufu aliokuwa nao ndio ukamponza mazima lakini vipi huko mitaani kwa mabinti wa miaka 17 ambao wana misururu ya mabwana na wakijiuza kabisaaa , je nao hawastahili hukumu au kwa kuwa hawakukutwa na mtihani huo...

kama wewe ni mtakatifu sana ambaye hukuwahi zini na mwanamke asiye mkeo au kufanya dhambi yoyote ile na uwe wa kwanza kutoa hukumu katika hili

Binti mdogo alikuwa anafanya nini usiku wa manane chumbani kwa mwanaume? Alipelekwa kwa lazima au alienda peke yake kwa mapenzi yake? Acha kutetea Crap! Hta mama lulu ovyo tu
 
Back
Top Bottom