Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Pointi ni kwamba tuliwaondoa, na wao wana haki ya kuwatoaKabla hata ya huo ukoloni msomi,
Ama kama hukuwatoa ni uzembe wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pointi ni kwamba tuliwaondoa, na wao wana haki ya kuwatoaKabla hata ya huo ukoloni msomi,
Naomba ulete mfano wa nukuu kuhusu jambo hilo kutoka kwenye hizo diniZisome vizuri hizo dini na utaona mafundisho yake na adithi zake zimeegemea upande mmoja na hio ni ubaguzi
Sio kupaniki ,nimeanza ni hivyo kutokana na wewe umekuwa muumini wa kuweka vitu pasi na ushahidi na vya uongo huku ukitilia mkazo kuwa ni kweli hata ukiambiwa uweke ushahidi hauleti huku ukisimamia msimamo yako .Ingekuwa ID nyingine nisingeaanza kwa neno ningechukulia labda hana info za kutosha na akieelekezwa ataelewa au kupinga kwa ushahidi.Mkuu kutoa maoni ni jambo huru na uwanda mpana hakuna ugomvi.Wasomi waga hatupaniki na kutoa maneno ya kejeli kama""Wewe mweupe kichwani""hayo wanafanya vijana wa chuo wanaochukua degree.Au msomi elimu uliyopata haijakupa uungwana katika kuchangia hoja bila kutumia lugha za kejeli na kuheshimu hoja kinzani na kupinga hoja kwa hoja???
Wewe Mwananchi upo sahihi sana na una vina saba vya uelewa na kutokubagua safi sana Mkuu...Adam hata kama angekuwa ni mweusi au wa kijani lakini siyo sababu ya kubaguana.
Upo sahii kwa maoni yako mkuuPointi ni kwamba tuliwaondoa, na wao wana haki ya kuwatoa
Ama kama hukuwatoa ni uzembe wako
Karibu uchangie ndugu yangu.Sio kupaniki ,nimeanza ni hivyo kutokana na wewe umekuwa muumini wa kuweka vitu pasi na ushahidi na vya uongo huku ukitilia mkazo kuwa ni kweli hata ukiambiwa uweke ushahidi hauleti huku ukisimamia msimamo yako .Ingekuwa ID nyingine nisingeaanza kwa neno ningechukulia labda hana info za kutosha na akieelekezwa ataelewa au kupinga kwa ushahidi.
Tatizo dini zina msingi ya ubaguzi msomiWewe Mwananchi upo sahihi sana na una vina saba vya uelewa na kutokubagua safi sana Mkuu...
Angalia story za vitabu vya dini zao utaona vimeegemea upande mmoja.Hiyo ni ubaguzi msomi,au nakoseaNatamani ulete nukuu kutoka kwenye miongozo ya dini zao hususani pale panapofundisha kubaguana vinginevyo tambua kwamba hao wanaobaguana(bila kujali ni wafia dini) ni utashi wao tu mkuu.
Weka mfano hapaAngalia story za vitabu vya dini zao utaona vimeegemea upande mmoja.Hiyo ni ubaguzi msomi,au nakosea
Nadhani nimekujibu msomi.Uliniambia unanisubiri kwa hamu.Hakuna unachojua wewe mweupe kichwani eleza wapi Malcolm X alifeli kwenye dini ? tena hapa nitakuumbua kwa ushahidi maana nina file zima kuhusu Malcolm X kukiwa na Audio ,Video pamoja
na vitabu lukuki kuhusu yeye.
Nb: Nakusubiri kwa hamu na kwa kujiamini utoe maelezo kuhusiana na hilo kisha nikupigie KO kwa ushahidi.
Ngoja nitafute maana mimi sio muumini wa imani hizo.Lakini maneno kama KAFIR au wateule ni maneno ya kibaguzi na yapo kwenye vitabu vya hizo dini msomi.Naomba ulete mfano wa nukuu kuhusu jambo hilo kutoka kwenye hizo dini
Usipende sana kuwa victim mkuu, inaondoa pride yako, inakuvunja spirit unakuwa mnyonge kweliUpo sahii kwa maoni yako mkuu
Mfano mdogo ninaoweza kukupa msomi ni kwamba hadithi zote za hivyo vitabu zimeegemea mashariki ya kati na bara ulaya na kasikazini mwa afrika na maeneo ya wahabeshi.Hadithi zao zimewabagua wabantu wa kusini mwa jangwa la sahara kuanzia ukanda wa misitu mpaka kusini kabisa.Huo ni ubaguzi msomiWeka mfano hapa
Sasa msomi unawaambia vipi wale waarabu walioandamana kupinga matamshi ya raisi wao pale mjini tunis??? Nao wana shobo au????Usipende sana kuwa victim mkuu, inaondoa pride yako, inakuvunja spirit unakuwa mnyonge kweli
Kama umebaguliwa na Waarabu acha shobo, jipange uwe na uwezo wakuheshimu
Hao wamepinga kwa sababu ya uhasimu wa kisiasa na huyo RaisSasa msomi unawaambia vipi wale waarabu walioandamana kupinga matamshi ya raisi wao pale mjini tunis???
Kwahiyo msomi hao migrant hawana uwezo ndio sababu wanabaguliwa???Usipende sana kuwa victim mkuu, inaondoa pride yako, inakuvunja spirit unakuwa mnyonge kweli
Kama umebaguliwa na Waarabu acha shobo, jipange uwe na uwezo wakuheshimu
Wewe ukiona unabaguliwa, jua wewe ni inferior, cha kufanya sio kuomba huruma ni kujipanga uwe superiorKwahiyo msomi hao migrant hawana uwezo ndio sababu wanabaguliwa???
Kwahiyo ubaguzi upo msomiHao wamepinga kwa sababu ya uhasimu wa kisiasa na huyo Rais
Ila moyoni hakuna mwarabu anayependa Waafrika wengi, tena wasiokuwa na elimu nchini kwake
Unaweza kuvumilia kiasi ila sio wengi!!!!!!
Upo kila mahaliKwahiyo ubaguzi upo msomi
Basi msomi duniani waafrika na waarabu ni inferior maana wanabaguliwa sana.Wewe ukiona unabaguliwa, jua wewe ni inferior, cha kufanya sio kuomba huruma ni kujipanga uwe superior