Kwanza ningependa kukusoa hapo kuhusu walioamini katika NOI au waislamu walimfuata Malcolm X hapo umekosea moja kwa moja , Malcolm kipindi cha mwisho alikuwa na uadui mkubwa na NOI na hao wamehusika kwa namna moja katika kifo chake..
SOMO KAMILI : Malcolm X maisha yake ya kiharakati yana sehemu mbili .
1.Harakati kipindi yupo NOI.
Mahubiri ya Brother Malcolm X yalibase katika violence (jino kwa jino,watu weupe ni mashetani nk)
Hapa alikuwa mtu yeyeto mweupe hafai kushiriki katika harakati zake kea kuamini wote waovu . Vilevile harakati zake zilionyesha kuwa na mlengo wa dini ya Uislamu na kupuuza dini nyingine.
2.Sehemu ya pili ni baada ya kuachana na Uislamu Feki wa NOI na kwenda Saudi Arabia kufanya ibada ya Haji . Hapa aliporudi Malcolm X alizaliwa upya alitikisa Dunia nzima kubadili msimamo wake kuhusu watu weupe kuwa mashetani na falsafa za Violence hata watu hawakuamini kama ni yeye. Tena akawa anahusisha dini zote na kutenga mbo kidini na kiharakati akaja na kitu "Black nationalism " kuunganisha watu weusi na wasio weusi ,wenye dini na wasio na dini katika harakati zake.
Hapa alikuja bongo kukuta a na Jk Nyerere ,Ghana Kwame Nkurumah ,Japan nk hata inner cycle yake katika organization yake mpya ilikuwa na na watu wakiristo kibao mfano huyo hapo Robert Genes kwenye kidauara
View attachment 2534679
Hapo akiwa na MLK baada ya kuzaliwa upya
View attachment 2534682
Sikiliza speech hiyo tena alitoa kanisani inakataa mzizi wa fitina kuhusu maneno yako.
View attachment 2534688
Nb: Kutokana na muda naomba niishie hapo maana nina clip nyingi na documents nyingi za uhakika kuhusu Brother Malcolm X .
Nataka nimalizie kusoma vitabu viwili kuhusu yeye nitimize Vinne ,kimoja cha aliyekuwa best friend wake 'Malcom Jarvis au Short na kingine cha uchambuzi kisha nishushe uzi maalumu kuhusu yeye wenye full nondoz .
Hivyo vilivyobaki
View attachment 2534689
View attachment 2534690