25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
kafiri sio ubaguzi ni sifa ya mtu ni sawa na kuitwa mpagani sio ubaguzi tatizo letu ss tunapenda kuketi kwenye viti visivio vietuNadhani tungeangalia pale tu kwenye hoja ya racism kwanza mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kafiri sio ubaguzi ni sifa ya mtu ni sawa na kuitwa mpagani sio ubaguzi tatizo letu ss tunapenda kuketi kwenye viti visivio vietuNadhani tungeangalia pale tu kwenye hoja ya racism kwanza mkuu
God cares how we treat each other because we’re all created in His image (Genesis 1:27). He makes no distinction between the inherent value of one race or ethnicity over another.Mkuu huyo adamu alikua wa rangi gani kwa mujibu wa maelezo ya hivyo vitabu.Afu angalia kwenye hivyo vitabu jinsi wanavyoelezea asili ya mtu mweusi.Ndio utajua waanzilishi wa imani hizo kama hawakua wabaguzi kwa wengine.
Nilikua namjibu @ doctor Ngariba kua hata hizo dini anazozisema vitabu vyake viliandikwa kiubaguzi kuegemea watu weupe.So dini zote zilizoletwa afrika zilijengwa kwa msingi ya kibaguzi toka mwanzo.kwani kusema adamu alikuwa rangi fulani huo ni ubaguzi?tatizo la watu wesi hawataki ukweli ukiambia mweusi wewe unachukia mbona muarabu mchina tukiwata weupe awasemi tunawabagua
Hao mungu wao pia ni wabaguzi maana adithi zao na kila kitu kimeegemea kwa watu weupe msomiGod cares how we treat each other because we’re all created in His image (Genesis 1:27). He makes no distinction between the inherent value of one race or ethnicity over another.
Na hii hapa ni Biblia so ubaguzi ni hulka yao ila dini zao hazifundishi kubaguana.
Yeah ni ubaguzi msomi.Kwanini wasiseme adamu alikua mweusi.Vitabu vyao vinaonyesha wazi adamu alikua mweupe msomi.Na manabii wao na pia adithi zao zoote zinaegemea maeneo yao waliyokua wanaishi na sio maeneo ya watu weusi.Huo ni ubaguzikwani kusema adamu alikuwa rangi fulani huo ni ubaguzi?tatizo la watu wesi hawataki ukweli ukiambia mweusi wewe unachukia mbona muarabu mchina tukiwata weupe awasemi tunawabagua
Tatizo hata dini zao zimejengwa kwa msingi ya ubaguzi.Ndio maana kuna maneno kama.KAFIR na WATEULEAdam hata kama angekuwa ni mweusi au wa kijani lakini siyo sababu ya kubaguana.
Nilikua nakujibu tu msomi kuhusu dini zilizoletwa afrika zilivyo na ubaguzi.Wewe ulisema dini hizo hazina ubaguzi msomiNadhani tungeangalia pale tu kwenye hoja ya racism kwanza mkuu
Kila nchi ina haki ya kulinda utamaduni wake na identity yakeNadhani wanalinda race yao dhidi ya wahamiaji weusi na alichokosea raisi kusema watu weusi kutokea sub sahara countries wanaleta unacceptable religion,cultures,values,crimes kwa watunisia na wana mpango wa kuifanya tunsia kua purely african.Hakushutumu illegal migrants kutoka Syria,Afghanistan,Iraq,Libya,Lebanon.Bali alishutumu illegal migrants wa sub sahara countries pekee.Ndio watu wakaandamana kumpinga
Dini zina utaratibu na lugha za kigeni so shida bado ipo msomi.Kwanza waafrika tunajibagua wenyewe ukiona mtu anasema sio ngudu yako lakini unamg'ang'ania jua umeshaonesha uzahifu kwani sisi waafrica dini yetu ni ipi je ukiona mtu anajipiga karolaiti au anaweka dawa kichwani ziwe za kiarabu au kizungu hapo ajajibagua na wewe unaemnunulia hivyo vitu ili abadili asili yake wewe sio mbaguzi wa muafrica mwenzako wakati mwingine mwarabu au mzungu hawana shida na sisi maana sisi ndio zaifu wa fikira swala la dini sioni tukizifata ipasavyo kama kuna xhida kikubwa tuache kutumia dini kwa ajili ya matumbo yetu
God cares how we treat each other because we’re all created in His image (Genesis 1:27). He makes no distinction between the inherent value of one race or ethnicity over another. Hiyo hapo ni BibliaTatizo hata dini zao zimejengwa kwa msingi ya ubaguzi.Ndio maana kuna maneno kama.KAFIR na WATEULE
Hata wao walipokuja kwetu walijiona wana haki msomi.Au umesahauKila nchi ina haki ya kulinda utamaduni wake na identity yake
Kuchagua wachukue mhamiaji yupi na wamuache yupi
Mbona Waafrika tunajiona tuna haki sana ya kwenda kuishi nchi za watu?
Walikuja lini?Hata wao walipokuja kwetu walijiona wana haki msomi.Au umesahau
Dini zilibuniwa na watu,na zina ubaguzi ndani yake msomi.God cares how we treat each other because we’re all created in His image (Genesis 1:27). He makes no distinction between the inherent value of one race or ethnicity over another. Hiyo hapo ni Biblia
“All humans are descended from Adam and Eve,” said Muhammad in his last known public speech. “There is no superiority of an Arab over a non-Arab, or of a non-Arab over an Arab, and no superiority of a white person over a black person or of a black person over a white person, except on the basis of personal piety and righteousness.”
Na mwisho hapo ni Qur an.
Dini zao hazifundishi kubaguana lakini watu wa dini zao wanaweza kubaguana kutokana na hulka zao.
Fuatilia historia ya bara hili la watu weusi msomiWalikuja lini?
Kama unamaanisha ukoloni Walipokuja si tuliwafukuza pia,Fuatilia historia ya bara hili la watu weusi msomi
Hazina ubaguzi kwa mujibu wa mafundisho ya dini zao.Nilikua nakujibu tu msomi kuhusu dini zilizoletwa afrika zilivyo na ubaguzi.Wewe ulisema dini hizo hazina ubaguzi msomi
Kabla hata ya huo ukoloni msomi,Kama unamaanisha ukoloni Walipokuja si tuliwafukuza pia,
Zisome vizuri hizo dini na utaona mafundisho yake na adithi zake zimeegemea upande mmoja na hio ni ubaguziHazina ubaguzi kwa mujibu wa mafundisho ya dini zao.
Tufanye mfano katiba ya Tanzania hairuhusu ujambazi lakini majambazi wapo.Je,utasema kwamba nchi yetu inafundisha watu kuwa majambazi?
Natamani ulete nukuu kutoka kwenye miongozo ya dini zao hususani pale panapofundisha kubaguana vinginevyo tambua kwamba hao wanaobaguana(bila kujali ni wafia dini) ni utashi wao tu mkuu.Dini zilibuniwa na watu,na zina ubaguzi ndani yake msomi.