Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Hakuna unachojua wewe mweupe kichwani eleza wapi Malcolm X alifeli kwenye dini ? tena hapa nitakuumbua kwa ushahidi maana nina file zima kuhusu Malcolm X kukiwa na Audio ,Video pamoja
na vitabu lukuki kuhusu yeye.

Nb: Nakusubiri kwa hamu na kwa kujiamini utoe maelezo kuhusiana na hilo kisha nikupigie KO kwa ushahidi.
Alichofeli mzee wetu Malcom x ni sawa na alichofeli mzee wetu Martin Luther king jr.Waliwagawa watu weusi kule marekani kwa msingi ya kidini na ndio maana harakati zao zilihujumiwa na watu weupe.Watu weusi walioamini katika uislamu na member wa national of islam walimfuata Malcom x na wale walioamini katika ukristo na evangelic,s churches walimfuata Martin luther na viongozi wenzie wa kipentekosite.Matokeo yake waliwagawa wamarekani weusi katika udini (Uislamu na Ukristo) wakati wa mapambano ya kudai haki zao miaka ya 1960,s na wakaanza kupigana wao kwa wao na kuhujumiana kwa msingi ya kidini na maslahi binafsi.Na hiyo ilitoa nafasi kwa harakati zao kuhujumiwa na watu weupe na vibaraka wa watu weupe miaka hiyo ya 1960,s.

NB: Mkuu ukichangia hoja kama msomi bila kutoa lugha za kejeli kama""Wewe mweupe kichwani""ni jambo bora zaidi.Sababu sisi wasomi tunaheshimu itifaki katika kuchangia hoja.
 
Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu.

Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu, majina yetu, imani zetu na tamaduni zetu na kukumbatia vya wageni na kuita vya mababu zetu ushenzi.

Waafrika Wabantu hatujitambui na nafasi yetu katika hii Dunia

=====

Tunisia’s president, Kais Saied, has told a meeting of security officials that migrants are part of a wider campaign to change the demographic makeup of the country and make it “purely African”.
Wakati unahoji hili nami nakuomba unioneshe chotara mweusi aliyeko China wanaojitambulisha kuwa ndugu wa wanaccm.
 
Kwa kifupi ubaguzi ni hulka ya mtu, hapa Tanzania tunabaguana hata kuuana kwa tofauti ya vyama vya siasa! Hilo alilolisema liache lipite tu halina madhara kama ya huku kwetu.
Popote pale duniani ubaguzi una madhara.Kuna watu wanashambuliwa na kuzuiwa kupanda public transport nchini tunisia na ndio maana watu wakaandamana pale tunis kupinga kauli yake
 
Popote pale duniani ubaguzi una madhara.Kuna watu wanashambuliwa na kuzuiwa kupanda public transport nchini tunisia na ndio maana watu wakaandamana pale tunis kupinga kauli yake
Kwahiyo na sisi watu wa hovyo tutaandamana! Hatukuandamana mwandishi wa habari alipolipuliwa na bomu mikononi mwa polisi!
 
hapa hapa tanzania kuna ubaguzi mkubwa sana watu weusi kuwabagua watu weupe, lakini wao wakiwabagua weupe kwao ni sawa wakibaguliwa kelele nyiiingi mpaka zinafika mbinguni
 
Mbona Tanzania tunawakamata Wasomali na kuwaita wahamiaji haramu...Waafrika wenzetu hiyo tunaona sawa...na wengine wanaendelea kufia kwenye makontena wakihitaji kuvuka mipaka yetu tuu..
Ni ubaguzi pia,sio sawa sababu nao wasomali ni binadamu watendewe haki japokua ni illegal migrants
 
mpaka vyakula mliletewa na vasco dagama, mlikuwa hamjui chakula chochote mpaka mihogo viazi ndizi viungo vya kwenye mboga abdasini hiliki zote mliletewa kutoka kwa wastaarabu , bila vasco dagama mgekuwa mnakula matunda tu, wahindi nao wakawaletea chapati mandazi baggia sambusa pilau tamtam piza keki halafu kenge nyinyi mnawatukana mpaka leo hivyo vyakula hamjui
kuvipika havina test sio kama akipika mwarabu au muhindi
 
Back
Top Bottom