Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #161
Yeye anasema wazungu hawapendi ngono🤣🤣🤣Hebu acha kutuletea dharau bwana uholanzi kuna sehemu kusex ni free tena ni public place
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anasema wazungu hawapendi ngono🤣🤣🤣Hebu acha kutuletea dharau bwana uholanzi kuna sehemu kusex ni free tena ni public place
Alichofeli mzee wetu Malcom x ni sawa na alichofeli mzee wetu Martin Luther king jr.Waliwagawa watu weusi kule marekani kwa msingi ya kidini na ndio maana harakati zao zilihujumiwa na watu weupe.Watu weusi walioamini katika uislamu na member wa national of islam walimfuata Malcom x na wale walioamini katika ukristo na evangelic,s churches walimfuata Martin luther na viongozi wenzie wa kipentekosite.Matokeo yake waliwagawa wamarekani weusi katika udini (Uislamu na Ukristo) wakati wa mapambano ya kudai haki zao miaka ya 1960,s na wakaanza kupigana wao kwa wao na kuhujumiana kwa msingi ya kidini na maslahi binafsi.Na hiyo ilitoa nafasi kwa harakati zao kuhujumiwa na watu weupe na vibaraka wa watu weupe miaka hiyo ya 1960,s.Hakuna unachojua wewe mweupe kichwani eleza wapi Malcolm X alifeli kwenye dini ? tena hapa nitakuumbua kwa ushahidi maana nina file zima kuhusu Malcolm X kukiwa na Audio ,Video pamoja
na vitabu lukuki kuhusu yeye.
Nb: Nakusubiri kwa hamu na kwa kujiamini utoe maelezo kuhusiana na hilo kisha nikupigie KO kwa ushahidi.
Umenikumbusha mzee wetu Iddi Amini dada🤣🤣🤣🤣Mambo yetu tuachiwe wenyewe...
Wakati unahoji hili nami nakuomba unioneshe chotara mweusi aliyeko China wanaojitambulisha kuwa ndugu wa wanaccm.Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu.
Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu, majina yetu, imani zetu na tamaduni zetu na kukumbatia vya wageni na kuita vya mababu zetu ushenzi.
Waafrika Wabantu hatujitambui na nafasi yetu katika hii Dunia
=====
Tunisia’s president, Kais Saied, has told a meeting of security officials that migrants are part of a wider campaign to change the demographic makeup of the country and make it “purely African”.
Fafanua vizuri mkuu.Maana naona umeleta topic mpya.Karibu sana msomiWakati unahoji hili nami nakuomba unioneshe chotara mweusi aliyeko China wanaojitambulisha kuwa ndugu wa wanaccm.
Kwa kifupi ubaguzi ni hulka ya mtu, hapa Tanzania tunabaguana hata kuuana kwa tofauti ya vyama vya siasa! Hilo alilolisema liache lipite tu halina madhara kama ya huku kwetu.Fafanua vizuri mkuu.Maana naona umeleta topic mpya.Karibu sana msomi
Popote pale duniani ubaguzi una madhara.Kuna watu wanashambuliwa na kuzuiwa kupanda public transport nchini tunisia na ndio maana watu wakaandamana pale tunis kupinga kauli yakeKwa kifupi ubaguzi ni hulka ya mtu, hapa Tanzania tunabaguana hata kuuana kwa tofauti ya vyama vya siasa! Hilo alilolisema liache lipite tu halina madhara kama ya huku kwetu.
Kwahiyo na sisi watu wa hovyo tutaandamana! Hatukuandamana mwandishi wa habari alipolipuliwa na bomu mikononi mwa polisi!Popote pale duniani ubaguzi una madhara.Kuna watu wanashambuliwa na kuzuiwa kupanda public transport nchini tunisia na ndio maana watu wakaandamana pale tunis kupinga kauli yake
Hayo matendo jamii nyingine hazifanyagi.
Vipi kuhusu mstaa-bantu???
Daah nyi wahuni mmenishinda aisee...Sasa mbona hujaweka alichosema? Mi maswala ya school bus siyajuwi!
Sijakuelewa msomi.Unaposema watu wa hovyo unamaanisha nini msomi??Kwahiyo na sisi watu wa hovyo tutaandamana! Hatukuandamana mwandishi wa habari alipolipuliwa na bomu mikononi mwa polisi!
Ni ubaguzi pia,sio sawa sababu nao wasomali ni binadamu watendewe haki japokua ni illegal migrantsMbona Tanzania tunawakamata Wasomali na kuwaita wahamiaji haramu...Waafrika wenzetu hiyo tunaona sawa...na wengine wanaendelea kufia kwenye makontena wakihitaji kuvuka mipaka yetu tuu..
Alikimbia umande🤣🤣🤣@Chupa ya majiDaah nyi wahuni mmenishinda aisee...
Sijakuelewa msomi???mbona nyinyi kila siku kuwabagua wasukuma na kuwasema huwo sio ubaguzi?