Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Sio kupaniki ,nimeanza ni hivyo kutokana na wewe umekuwa muumini wa kuweka vitu pasi na ushahidi na vya uongo huku ukitilia mkazo kuwa ni kweli hata ukiambiwa uweke ushahidi hauleti huku ukisimamia msimamo yako .Ingekuwa ID nyingine nisingeaanza kwa neno ningechukulia labda hana info za kutosha na akieelekezwa ataelewa au kupinga kwa ushahidi.
 
Karibu uchangie ndugu yangu.
 
Natamani ulete nukuu kutoka kwenye miongozo ya dini zao hususani pale panapofundisha kubaguana vinginevyo tambua kwamba hao wanaobaguana(bila kujali ni wafia dini) ni utashi wao tu mkuu.
Angalia story za vitabu vya dini zao utaona vimeegemea upande mmoja.Hiyo ni ubaguzi msomi,au nakosea
 
Nadhani nimekujibu msomi.Uliniambia unanisubiri kwa hamu.
 
Naomba ulete mfano wa nukuu kuhusu jambo hilo kutoka kwenye hizo dini
Ngoja nitafute maana mimi sio muumini wa imani hizo.Lakini maneno kama KAFIR au wateule ni maneno ya kibaguzi na yapo kwenye vitabu vya hizo dini msomi.
 
Weka mfano hapa
Mfano mdogo ninaoweza kukupa msomi ni kwamba hadithi zote za hivyo vitabu zimeegemea mashariki ya kati na bara ulaya na kasikazini mwa afrika na maeneo ya wahabeshi.Hadithi zao zimewabagua wabantu wa kusini mwa jangwa la sahara kuanzia ukanda wa misitu mpaka kusini kabisa.Huo ni ubaguzi msomi
 
Usipende sana kuwa victim mkuu, inaondoa pride yako, inakuvunja spirit unakuwa mnyonge kweli

Kama umebaguliwa na Waarabu acha shobo, jipange uwe na uwezo wakuheshimu
Sasa msomi unawaambia vipi wale waarabu walioandamana kupinga matamshi ya raisi wao pale mjini tunis??? Nao wana shobo au????
 
Sasa msomi unawaambia vipi wale waarabu walioandamana kupinga matamshi ya raisi wao pale mjini tunis???
Hao wamepinga kwa sababu ya uhasimu wa kisiasa na huyo Rais
Ila moyoni hakuna mwarabu anayependa Waafrika wengi, tena wasiokuwa na elimu nchini kwake

Unaweza kuvumilia kiasi ila sio wengi
 
Usipende sana kuwa victim mkuu, inaondoa pride yako, inakuvunja spirit unakuwa mnyonge kweli

Kama umebaguliwa na Waarabu acha shobo, jipange uwe na uwezo wakuheshimu
Kwahiyo msomi hao migrant hawana uwezo ndio sababu wanabaguliwa???
 
Hao wamepinga kwa sababu ya uhasimu wa kisiasa na huyo Rais
Ila moyoni hakuna mwarabu anayependa Waafrika wengi, tena wasiokuwa na elimu nchini kwake

Unaweza kuvumilia kiasi ila sio wengi!!!!!!
Kwahiyo ubaguzi upo msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…