Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Hili mkuu siyo la kulalamikia sana maana hao walikuwa wanatajwa kutokana na kuhusika kwao kwenye matukio mbalimbali ambayo yalikuwa ni rahisi kupata taarifa zake kwa mfano vita na majanga.
Je,ulitaka hadithi ya Sodoma na Gomorwa iwe imeandikwa kutoka Kyela wakati haikufanyika hapo?

Lakini pia mbona hivyo vitabu vimeandika historia na matukio kutoka maeneo ya Uhabeshi au nao ni Waarabu/Wazungu?. Kwa mantiki hiyo basi hata Wamarekani nao wamebaguliwa kwenye hivyo vitabu maana hawajatajwa sana; je, na wao ni weusi/Waafrika?
 
Kwahiyo ubaguzi upo kwenye msingi ya hizo dini tangu walipozibuni.Mimi silalamiki,umeniambia nikupe mfano na nikakujibu msomi,wasomi wanatoa hoja au kujibu hoja""Hawalalamiki"".Au nimekosea kujibu msomi???
 
hakuna andiko linalo onyesha kuwa mtu mweupe ndio bora zidi ya mweusi kama lipo basi watu wekee tulione
 
Waafrika ndio lia lia, Waarabu wanajipanga kujenga uchumi zao wakibaguliwa sio kulia
Nimekaa ufaransa kwa mfano,waarabu wanalia sana wakibaguliwa.Hawana tofauti na waafrika msomi.Au wewe unawasemea waarabu wa ukanda upi???
 
hakuna andiko linalo onyesha kuwa mtu mweupe ndio bora zidi ya mweusi kama lipo basi watu wekee tulione
Kwenye vitabu vya dini vilivyoletwa na watu weupe huku afrika vilibuniwa kimakusudi kuonyesha watu weupe walikua superior na watu weusi walikua wa laana.
 
Upo sahii vitabu vya dini vya kibaguzi na vimewabagua mpaka wahindi wekundu wa bara amerika
 
Kwahiyo ubaguzi upo kwenye msingi ya hizo dini tangu walipozibuni.Mimi silalamiki,umeniambia nikupe mfano na nikakujibu msomi,wasomi wanatoa hoja au kujibu hoja""Hawalalamiki"".Au nimekosea kujibu msomi???
Achana na hilo la kulalamika, naomba upitie mengine yaliyopo kwenye hoja yangu.Nimekupa mfano hivyo vitabu vimezungumzia mpaka matukio ya Uhabeshi na kwa kuzingatia kuwa Uhabeshi ipo Afrika/ni ya watu weusi.Je,huoni kwamba dhana ya kuwa weusi hawajazungumziwa kwenye hivyo vitabu inakufa? Na vipi kuhusu Amerika kutokutajwa kwenye hivyo vitabu na kwa hoja yako ya kwamba vitabu vyao vimetubagua kutokana na race yetu huoni pia unakosea?

Natamani tuseme hivi Dini zinafundisha upendo na kutobaguana lakini wenye dini wanaweza kubaguana(HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO) ila dhambi hiyo isihusishwe na dini bali iwe ni ya mwenye makosa yake hadi pale tu itapothibitika vingine juu ya mafundisho ya dini husika.
TAMATI.
 
Kwanza ningependa kukusoa hapo kuhusu walioamini katika NOI au waislamu walimfuata Malcolm X hapo umekosea moja kwa moja , Malcolm kipindi cha mwisho alikuwa na uadui mkubwa na NOI na hao wamehusika kwa namna moja katika kifo chake..

SOMO KAMILI : Malcolm X maisha yake ya kiharakati yana sehemu mbili .

1.Harakati kipindi yupo NOI.
Mahubiri ya Brother Malcolm X yalibase katika violence (jino kwa jino,watu weupe ni mashetani nk)

Hapa alikuwa mtu yeyeto mweupe hafai kushiriki katika harakati zake kea kuamini wote waovu . Vilevile harakati zake zilionyesha kuwa na mlengo wa dini ya Uislamu na kupuuza dini nyingine.

2.Sehemu ya pili ni baada ya kuachana na Uislamu Feki wa NOI na kwenda Saudi Arabia kufanya ibada ya Haji . Hapa aliporudi Malcolm X alizaliwa upya alitikisa Dunia nzima kubadili msimamo wake kuhusu watu weupe kuwa mashetani na falsafa za Violence hata watu hawakuamini kama ni yeye. Tena akawa anahusisha dini zote na kutenga mbo kidini na kiharakati akaja na kitu "Black nationalism " kuunganisha watu weusi na wasio weusi ,wenye dini na wasio na dini katika harakati zake.

Hapa alikuja bongo kukuta a na Jk Nyerere ,Ghana Kwame Nkurumah ,Japan nk hata inner cycle yake katika organization yake mpya ilikuwa na na watu wakiristo kibao mfano huyo hapo Robert Genes kwenye kidauara

Hapo akiwa na MLK baada ya kuzaliwa upya

Sikiliza speech hiyo tena alitoa kanisani inakataa mzizi wa fitina kuhusu maneno yako.
Your browser is not able to display this video.


Nb: Kutokana na muda naomba niishie hapo maana nina clip nyingi na documents nyingi za uhakika kuhusu Brother Malcolm X .

Nataka nimalizie kusoma vitabu viwili kuhusu yeye nitimize Vinne ,kimoja cha aliyekuwa best friend wake 'Malcom Jarvis au Short na kingine cha uchambuzi kisha nishushe uzi maalumu kuhusu yeye wenye full nondoz .

Hivyo vilivyobaki


 
Hapana msomi.Dini zilizoletwa afrika na watu weupe zinafundisha ubaguzi na ndio maana watu huku afrika wanauana kwa ubaguzi wa kidini msomi.
 
Mbona hajaongelea ubaguzi?...

Ni kama sisi tukiwaita wengine mabeberu .

Pia alichokisema ni malengo yao, kaweka utaifa mbele.. Usipanick mkuu
 
Hapana msomi.Dini zilizoletwa afrika na watu weupe zinafundisha ubaguzi na ndio maana watu huku afrika wanauana kwa ubaguzi wa kidini msomi.
Mtauana kwa utashi na uelewa wenu,
Jipe muda ujifunze hizo dini vizuri ili uepuke kuuana. Mara nyingi kama si zote hizo dini zinaruhusu kuuwa pale tu katika mazingira ya kujihami au dharura kwa mfano mkuu umeingia home kwangu na AK47 na unataka kuniua ili ubebe mali zangu naruhusiwa kujihami kwa hiyo ikitokea bahati mbaya nimekuua siyo shida mkuu.
 
Mkuu Hujabaguliwa isipokuwa umejibagua wewe mwenyewe.
 
Msomi malcom alivutia wamarekani waislamu na alishindwa kuunganisha wamarekani wote.Na martin luther alivutia wamarekani wakrsto na alishindwa kuwaunganisha wamarekani wote.Ndio maana zile harakati zao zilifeli sababu wamarekani weusi walihujumiana kwa sababu ya kuamini dini za watu weupe na kushindwa kujiunganisha kama jamii moja
 
Dini za watu weupe zilizoletwa afrika zinafundisha ubaguzi.Ndio maana kuna maneno kama KAFIR au WATEULE kwenye vitabu vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…