Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Elijah muhamad alifundishwa na waarabu huo uislam.Na malcom mpaka anakufa aliamini katika arab naization na sio africanism.Ndio maana alijibatiza mpaka majina ya kiarabu
[/QUOTE]Hapa nakutoa maana rasmi maana unaongea vitu pasipo na ujuzi labda mijadala ya vijiwe vya kahawa itakufaa zaidi .

Elijah Muhammad hakufundishwa na Waarabu bali na Wallace D Fard ambaye yeye alidai kuwa huyo ni Allah amekuja duniani kwa umbile la mwanadamu kuukomboa ulimwengu na kumkabidhi yeye Elijah Muhammad Utume jambo ambalo ni kinyume na uislamu na angeenda nchi za kiarabu na itikadi yake hiyo angeuwawa.
Screenshot_20230302_214315.jpg


NB: Rasmi sasa nakupuuza maana kwa levo ya ujinga na upumbavu uliyofikia haustaili tena kujadiliana na watu wanaojielewa ,mtu jambo hauna ujuzi nalo unajivika usemaji na kushupalia kama mtalaamu #PoorYou

Nelson Jacob lushasi
 
kitu kibaya zaidi ni kwamba, na yeye akienda ulaya anabaguliwa kwamba sio mzungu au sio mweupe vya kutosha. hata hajui anachoongea.
 
siyo vitabu tu, hata matendo yao kiujumla ni laana tupu
1. uchawi
2. uzinzi
3. uvivu
4. uzinzi
5. uzinzi
6. uzinzi
Uzinzi, uzinzi kila namba umeuweka!

Nawe utakuwa ni brain washed pia, waswahili wanasema: "wale wale kasoro tarehe".

Hizi porn videos zilizojaa kwenye "porn hub" ni Waafrika watupu wale?
 
hazifanyi,
data zinaonesha, africa ndiyo mnaoongoza kumeza ARV na kufa kwa Ngoma
Kumeza ARVs kwa Waafrika ni mtambuka, emb rudi katafute sorce: "kwa nini ukimwi upo zaidi Afrika na si maeneo mengine ya dunia"!

Utakapoipata sorce pamoja na sababu, hautakuja kirudia tena kuongea statements kama hizo.
 
Hivi hso watunisua,misri,libya, algeria wanatusaifia nini ? Hawans lolote ka maana.Wapo bara la giza kama sisi

Sio nvhi zenye nafuta mengi ukiondoa libya .
Hawana teknolojia ya kututishia.
Hawana migodi mikubwa ya sisi kuwaonea wivu.
Hawana mbugw za wanyama kama TZ.
Hawana ardhi yenye rutuba kama iliopo Tanzania.
Ndugu zao wamejaa ktk nchi zetu za wabantu na kufaidi rasilimali zetu kuliko sisi tulivyojaa nchi zao.
They migrate more in our countrie than we migrate to them.
 
kule afrika kusini wale ni magenge ya wahuni wasiofanya kazi wanaonea wivu wafrika wenzao weusi wageni. Wale walishaathirika na siasa za kibaguzi tangu enzi za utawala wa makaburu, tuwasamehe tu wenzetu wale
kwa hivyo akifanya muafrika ni sawa lakini akifanya kabila nyingine ni ubaguzi dhidi ya waafrika.
 
Ni hapo inaposhangaza muafrika anakumbatia mila na desturi za hao wabaguzi. Hawa ni kuwaachia hata lile dini lao la balaa walilolieneza afrika. Dini likawa la chuki baina ya wafrika na waafrika. Waafrika ndio kwanza wanajinasibu na wao wana unasaba na watu hao wanaowabagua. Liwalo na liwe atokee kiongozi jasiri wa kiafrika aseme hataki mila, desturi na tamaduni za watu hao wabaki nazo hukohuko kwao
kwani huyo rais kaongelea dini au umekunywa viloba
 
Comoro pia ipo umoja wa kiarabu, na ipo hapo jirani na mkoa wa Lindi na Mtwara.

Sudan (kabla ya kugawiwa sehemu mbili walikua) wamepakana na Kenya na pia wapo umoja wa nchi za Kiarabu.
hata sisi tumetengeneza umoja wetu wa afirika mashariki tatizo liko wapi?
 
Mkuu umesema ukweli hapa
ukweli gani alio usema hapa kazi kulalama tu tunabaguliwa tunabaguliwa hao wazungu wasio wabagu sindio walio wakata vichwa watemi wetu? sindio walio watenga watu weusi kule amerika dawa sio kulia lia chukua hatua
 
Kweli mkuu waarabu ukiwakuta paris wanalalamika wakibaguliwa ulaya.Lakini wao kuwabagua waafrika wanaona sawa
waarabu walioko ufaransa ni wengi sana walisha zaliana na wafaransa tatizo watu weusi atushi kulialia kutafuta huluma kwa watu weupe kala mala waarabu wanatubagua wanawabaguaje wamechuka utawala wenu wanchi?
 
kubali uko bara la giza

Tunisia wako sahihi kabisa, Egypt wako sahihi kabisa, Trump naye yuko sahihi kabisa
raisi wa tunisia ni mfano wa kuigwa katika marais wa afirika kwanza alifuta bunge mahakama akabaki na bunge tu kisha katengeneza katiba inayo watambua walahoi wasio jiweza kulipwa posho ya kujikimu kila mwezi
 
Unaenda mbali, pemba kama si muungano wale wangekuwa umoja wa kiarabu. Sudani ina waarabu, commoro wale watu wana ushombeshombe fulani hivi mithili ya waarabu. Mbona hujajumuisha madagascar? Ina watu wenye ushombeshombe kama wahindi. Turudi kwenye mada tunisia, misri, algeria, morocco na libya typically ni nchi za kiarabu na wapo kwenye umoja wao duniani. Chad, mali, niger na mauritania zina uarabuarabu japo wengi ni wabantu. Ila hao akina tunisia hata wakisema wajitenge na wabantu waacheni wakaungane na ndugu zao wa bara jingine
uhauli wako mzuli sana tofaoti na wanao washutumu tatizo letu hatutaki ukweli
 
Ni hapo inaposhangaza muafrika anakumbatia mila na desturi za hao wabaguzi. Hawa ni kuwaachia hata lile dini lao la balaa walilolieneza afrika. Dini likawa la chuki baina ya wafrika na waafrika. Waafrika ndio kwanza wanajinasibu na wao wana unasaba na watu hao wanaowabagua. Liwalo na liwe atokee kiongozi jasiri wa kiafrika aseme hataki mila, desturi na tamaduni za watu hao wabaki nazo hukohuko kwao
Na wakristo na wao waachane na dini ya kikristo iliyoetwa na wazungu wa bara la ulaya?! Mimi kwenye uislamu hunitoi. Na najua waarabu walikuwa na matatizo yao kabla hawaingia kwenye uislamu sasa matatizo ya waarabu hayana uhusiano kwa namna yoyote na dini ya Kiislamu. Uislamu ni dini iliyochaguliwa na Mola muumba kwa ajili ya watu wa mabara yote na kupewa mtume mwarabu ailete kwetu haimaanishi kuwa ni dini ya waarabu.
 
kwani huyo rais kaongelea dini au umekunywa viloba
viloba ndio vitu gani, mbona povu hivyo? Andika vizuri, ni viroba sio viloba. Sijanywa. We unafikiri huyo rais ni dini gani? Iweje awabague waafrika wa dini yake? Huoni kuwa dini haitaki ubaguzi? Ni mwarabu wa tunisia na waarabu ndiyo walioeneza uislam
 
Kweli mkuu waarabu ukiwakuta paris wanalalamika wakibaguliwa ulaya.Lakini wao kuwabagua waafrika wanaona sawa
Ubaguzi upo katika jamii zote hata waarabu wenyewe kwa wenyewe wanabaguana wanabaguana na waafrika wenyewe kwa wenyewe tunabaguana. Mwarabu wa Oman anaweza kuwa anajiona bora kuliko msudani na mmisri na myemeni akiona bora kuliko msiria. Hebu kumbukeni huku Afrika mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 chanzo ni nini kama siyo ubaguzi Tena uliopandikizwa na wazungu wa ufaransa na ubelgiji?! KWANI MAUAJI YA RWANDA YALIKUWA KATI YA WAARABU NA WAAFRIKA AU NI WAHUTU NA WATUTSI AMBAO WOTE NI WAAFRIKA?! Ubaguzi kila sehemu upo siyo kwa waarabu tu!
 
Ni hapo inaposhangaza muafrika anakumbatia mila na desturi za hao wabaguzi. Hawa ni kuwaachia hata lile dini lao la balaa walilolieneza afrika. Dini likawa la chuki baina ya wafrika na waafrika. Waafrika ndio kwanza wanajinasibu na wao wana unasaba na watu hao wanaowabagua. Liwalo na liwe atokee kiongozi jasiri wa kiafrika aseme hataki mila, desturi na tamaduni za watu hao wabaki nazo hukohuko kwao
Uislamu na uarabu ni vitu viwili tafauti.
 
Back
Top Bottom