Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Elijah muhamad alifundishwa na waarabu huo uislam.Na malcom mpaka anakufa aliamini katika arab naization na sio africanism.Ndio maana alijibatiza mpaka majina ya kiarabu
Hapa nakutoa maana rasmi maana unaongea vitu pasipo na ujuzi labda mijadala ya vijiwe vya kahawa itakufaa zaidi .

Elijah Muhammad hakufundishwa na Waarabu bali na Wallace D Fard ambaye yeye alidai kuwa huyo ni Allah amekuja duniani kwa umbile la mwanadamu kuukomboa ulimwengu na kumkabidhi yeye Elijah Muhammad Utume jambo ambalo ni kinyume na uislamu na angeenda nchi za kiarabu na itikadi yake hiyo angeuwawa.View attachment 2535323

NB: Rasmi sasa nakupuuza maana kwa levo ya ujinga na upumbavu uliyofikia haustaili tena kujadiliana na watu wanaojielewa ,mtu jambo hauna ujuzi nalo unajivika usemaji na kushupalia kama mtalaamu #PoorYou

Nelson Jacob lushasi
[/QUOTE]
MSOMI UNAKUA NA HASIRA NIKIZICHAMBUA DINI ZA WANADAMU WALIZOZIBUNI HASA UISLAMU NA UKRISTO.UCJALI ILA UKWELI WAGA UNAOGOPWA NA NINAKUJUA UPO BRAIN WASHED NA DINI YA KIARABU KUANZIA AKILI,KITAMADUNI,MPAKA KIFIKRA.KIWANGO CHAKO CHA ELIMU DUNIA NA UTAMBUZI WA MAMBO NI KIDOGO NDIO MAANA HUWEZI POKEA HOJA KINZANI UNAISHIA KUKASIRIKA NA KUPATA MIHEMUKO NA KUTUMIA MANENO YA DHIAKA KAMA""POOR YOU""".NENDA MAREKANI STATE YOYOTE ILE YENYE WAAFRIKA WENGI AFU KAKAE KWENYE ANY HOOD,S FOR WHILE NA ULIZA AFRICAN AMERICAN WAKUADITHIE KUHUSU MALCOM X NA MARTIN LUTHER KING JR.USIISHIE KUSOMA VITABU TU SAFIRI UELIMIKE.
 
Huwa inashangaza sana! Unakuta mwafrika mweusi tii na nywele fupi za kibantu gari yake kabandika stika islam is my dean bila aibu. Kwa mwarabu ni sawa na inapendeza maana ni dini yao ya asili. Cha ajabu zaidi waafrika kwa waafrika wanagombana kwa ajili ya hiyo dini kama wale waafrika wabantu kule kaskazini mwa nigeria wanatia aibu afrika
Waafrika ni wahanga wa mapokeo ya dini za kigeni.
 
Unaifahamu asili yangu?Punda weye!
Msomi tunapochangia hoja haina haja ya kutumia lugha kali.Ukiona mtu anashindwa kuhimili hoja kinzani na kuanza kutoa maneno ya kashfa achana nae.Viwango vya elimu na utambuzi tunatofautiana.Nakubali sana hoja unazochangia msomi,karibu tuendelee.
 
It catches me without my awarenesses!Kuna muda mtu anaamua kukuchokoza tu ili uchukie.Na,kuna mmoja hadi ameunda id mpya ili anifanyie provocations tu.These people...!
 
It catches me without my awarenesses!Kuna muda mtu anaamua kukuchokoza tu ili uchukie.Na,kuna mmoja hadi ameunda id mpya ili anifanyie provocations tu.These people...!
It happen to me once ila nikajua jinsi ya kudeal na watu kama hao.Unawapa hoja makini na kama ni wajuzi kweli bas watakujibu kwa hoja makini na sio lugha za matusi au maneno ya dhiaka.Ucjal mkuu nakuelewa.
 
Ubaguzi ni sumu mbaya sana na una madhara makubwa sana kwa vizazi mpaka vizazi
Ubaguzi ni asili ya viumbe vyote visivyofanana.Ni asili vinavyofanana kuenda pamoja.
Hata wewe ukienda ulaya au Asia kwenye meeting za race tofauti ni lazima automatic utajichanganya na waafrika na sio race zingine.
 
Lakini hao Tunisia, Libya, algeria, morroco, Misri wale sio waafrika ni waafrika KWA maana ya jiografia lakini kwa asili wao ni waarabu wanaoishi afrika. Thus tamaduni na mifumo yao ya maisha na uongozi pia ni tofauti na wafrika
 
Waafrika ni wahanga wa mapokeo ya dini za kigeni.
kule nigeria kuna mwandishi wa vitabu maarufu na vitabu vyake tumevisoma sana sekondari. Mojawapo ya kitabu chake ni THINGS FALL APART, ina maana wanigeria hawakisomi hicho kitabu kiasi cha kuwa na upuuzi mwingi hasa yale majimbo ya sharia? Mbona wanigeria ni wasomi lakini wanakumbatia ujinga mwingi? Eti wanapigania upuuzi kiasi cha kuhatarisha usalama wao
 
Ubaguzi ni asili ya viumbe vyote visivyofanana.Ni asili vinavyofanana kuenda pamoja.
Hata wewe ukienda ulaya au Asia kwenye meeting za race tofauti ni lazima automatic utajichanganya na waafrika na sio race zingine.
Upo sahii kabisa msomi Ila kuna binadamu wamezidi kwa ubaguzi kwa mfano jamii za watu wa asia msomi.
 
Unaishia kufoka tu na hata hujui Africa ina race zipi,unachojua wewe kila mtu mweusi aliye Africa ni mbatu,poor!! Watu weusi wapo wengi tofauti na wabantu unaowatangaza wewe ambao ni nilotes,cushites,khoi(bushmen)(clicking sound)

Acha kukalili kijana!!
Safi sana👏
 
Waafrika hawajitambui sababu wanaamini dini za kigeni kuliko tamaduni zao.Chinua Achebe aliandika kile kitabu akielezea madhara ya ujio wa wageni barani afrika.Wanaigeria sio wasomi bali wanakariri elimu ya mkoloni.Na yale majimbo ndio watu wengi wanayakimbia hawataki kuishi kule,wote wanakimbilia kusini.@LOTH HEMA
 
kule nigeria kuna mwandishi wa vitabu maarufu na vitabu vyake tumevisoma sana sekondari. Mojawapo ya kitabu chake ni THINGS FALL APART, ina maana wanigeria hawakisomi hicho kitabu kiasi cha kuwa na upuuzi mwingi hasa yale majimbo ya sharia? Mbona wanigeria ni wasomi lakini wanakumbatia ujinga mwingi? Eti wanapigania upuuzi kiasi cha kuhatarisha usalama wao
Dini zimearibu waafrika
 
Back
Top Bottom