Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #341
Hapa nakutoa maana rasmi maana unaongea vitu pasipo na ujuzi labda mijadala ya vijiwe vya kahawa itakufaa zaidi .Elijah muhamad alifundishwa na waarabu huo uislam.Na malcom mpaka anakufa aliamini katika arab naization na sio africanism.Ndio maana alijibatiza mpaka majina ya kiarabu
Elijah Muhammad hakufundishwa na Waarabu bali na Wallace D Fard ambaye yeye alidai kuwa huyo ni Allah amekuja duniani kwa umbile la mwanadamu kuukomboa ulimwengu na kumkabidhi yeye Elijah Muhammad Utume jambo ambalo ni kinyume na uislamu na angeenda nchi za kiarabu na itikadi yake hiyo angeuwawa.View attachment 2535323
NB: Rasmi sasa nakupuuza maana kwa levo ya ujinga na upumbavu uliyofikia haustaili tena kujadiliana na watu wanaojielewa ,mtu jambo hauna ujuzi nalo unajivika usemaji na kushupalia kama mtalaamu #PoorYou
Nelson Jacob lushasi
[/QUOTE]
MSOMI UNAKUA NA HASIRA NIKIZICHAMBUA DINI ZA WANADAMU WALIZOZIBUNI HASA UISLAMU NA UKRISTO.UCJALI ILA UKWELI WAGA UNAOGOPWA NA NINAKUJUA UPO BRAIN WASHED NA DINI YA KIARABU KUANZIA AKILI,KITAMADUNI,MPAKA KIFIKRA.KIWANGO CHAKO CHA ELIMU DUNIA NA UTAMBUZI WA MAMBO NI KIDOGO NDIO MAANA HUWEZI POKEA HOJA KINZANI UNAISHIA KUKASIRIKA NA KUPATA MIHEMUKO NA KUTUMIA MANENO YA DHIAKA KAMA""POOR YOU""".NENDA MAREKANI STATE YOYOTE ILE YENYE WAAFRIKA WENGI AFU KAKAE KWENYE ANY HOOD,S FOR WHILE NA ULIZA AFRICAN AMERICAN WAKUADITHIE KUHUSU MALCOM X NA MARTIN LUTHER KING JR.USIISHIE KUSOMA VITABU TU SAFIRI UELIMIKE.