Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #301
Mdogo wangu usibadili maneno.Lakini hakuna shida nakuelewa mdogo wangu na kama kaka yako sina neno.Ukubwa jalalaMimi sijakutukana, nimekuambia acha shobo na waarabu utakuja kufirwa, sio tusi ni tahadhari
Basi tujadili yaliyondani ya mipaka yetu.Hatushangazwi bali tunajadilli
Uzinzi, uzinzi kila namba umeuweka!siyo vitabu tu, hata matendo yao kiujumla ni laana tupu
1. uchawi
2. uzinzi
3. uvivu
4. uzinzi
5. uzinzi
6. uzinzi
Kumeza ARVs kwa Waafrika ni mtambuka, emb rudi katafute sorce: "kwa nini ukimwi upo zaidi Afrika na si maeneo mengine ya dunia"!hazifanyi,
data zinaonesha, africa ndiyo mnaoongoza kumeza ARV na kufa kwa Ngoma
kwa hivyo akifanya muafrika ni sawa lakini akifanya kabila nyingine ni ubaguzi dhidi ya waafrika.kule afrika kusini wale ni magenge ya wahuni wasiofanya kazi wanaonea wivu wafrika wenzao weusi wageni. Wale walishaathirika na siasa za kibaguzi tangu enzi za utawala wa makaburu, tuwasamehe tu wenzetu wale
kwani huyo rais kaongelea dini au umekunywa vilobaNi hapo inaposhangaza muafrika anakumbatia mila na desturi za hao wabaguzi. Hawa ni kuwaachia hata lile dini lao la balaa walilolieneza afrika. Dini likawa la chuki baina ya wafrika na waafrika. Waafrika ndio kwanza wanajinasibu na wao wana unasaba na watu hao wanaowabagua. Liwalo na liwe atokee kiongozi jasiri wa kiafrika aseme hataki mila, desturi na tamaduni za watu hao wabaki nazo hukohuko kwao
frace ni afirikaMbona wao wanakimbilia spain na france kila siku
hata sisi tumetengeneza umoja wetu wa afirika mashariki tatizo liko wapi?Comoro pia ipo umoja wa kiarabu, na ipo hapo jirani na mkoa wa Lindi na Mtwara.
Sudan (kabla ya kugawiwa sehemu mbili walikua) wamepakana na Kenya na pia wapo umoja wa nchi za Kiarabu.
kwanini nawewe usiwa bague?kazi kulia lia tuHapo umezunguka tu.Ukweli ni kwamba Arabs ni wabaguzi sana kwa watu weusi/waafrika weusi.Ni hilo tu hakuna kupindisha au kutaja utaifa fulani na lugha zao.
ukweli gani alio usema hapa kazi kulalama tu tunabaguliwa tunabaguliwa hao wazungu wasio wabagu sindio walio wakata vichwa watemi wetu? sindio walio watenga watu weusi kule amerika dawa sio kulia lia chukua hatuaMkuu umesema ukweli hapa
waarabu walioko ufaransa ni wengi sana walisha zaliana na wafaransa tatizo watu weusi atushi kulialia kutafuta huluma kwa watu weupe kala mala waarabu wanatubagua wanawabaguaje wamechuka utawala wenu wanchi?Kweli mkuu waarabu ukiwakuta paris wanalalamika wakibaguliwa ulaya.Lakini wao kuwabagua waafrika wanaona sawa
raisi wa tunisia ni mfano wa kuigwa katika marais wa afirika kwanza alifuta bunge mahakama akabaki na bunge tu kisha katengeneza katiba inayo watambua walahoi wasio jiweza kulipwa posho ya kujikimu kila mwezikubali uko bara la giza
Tunisia wako sahihi kabisa, Egypt wako sahihi kabisa, Trump naye yuko sahihi kabisa
uhauli wako mzuli sana tofaoti na wanao washutumu tatizo letu hatutaki ukweliUnaenda mbali, pemba kama si muungano wale wangekuwa umoja wa kiarabu. Sudani ina waarabu, commoro wale watu wana ushombeshombe fulani hivi mithili ya waarabu. Mbona hujajumuisha madagascar? Ina watu wenye ushombeshombe kama wahindi. Turudi kwenye mada tunisia, misri, algeria, morocco na libya typically ni nchi za kiarabu na wapo kwenye umoja wao duniani. Chad, mali, niger na mauritania zina uarabuarabu japo wengi ni wabantu. Ila hao akina tunisia hata wakisema wajitenge na wabantu waacheni wakaungane na ndugu zao wa bara jingine
Na wakristo na wao waachane na dini ya kikristo iliyoetwa na wazungu wa bara la ulaya?! Mimi kwenye uislamu hunitoi. Na najua waarabu walikuwa na matatizo yao kabla hawaingia kwenye uislamu sasa matatizo ya waarabu hayana uhusiano kwa namna yoyote na dini ya Kiislamu. Uislamu ni dini iliyochaguliwa na Mola muumba kwa ajili ya watu wa mabara yote na kupewa mtume mwarabu ailete kwetu haimaanishi kuwa ni dini ya waarabu.Ni hapo inaposhangaza muafrika anakumbatia mila na desturi za hao wabaguzi. Hawa ni kuwaachia hata lile dini lao la balaa walilolieneza afrika. Dini likawa la chuki baina ya wafrika na waafrika. Waafrika ndio kwanza wanajinasibu na wao wana unasaba na watu hao wanaowabagua. Liwalo na liwe atokee kiongozi jasiri wa kiafrika aseme hataki mila, desturi na tamaduni za watu hao wabaki nazo hukohuko kwao
viloba ndio vitu gani, mbona povu hivyo? Andika vizuri, ni viroba sio viloba. Sijanywa. We unafikiri huyo rais ni dini gani? Iweje awabague waafrika wa dini yake? Huoni kuwa dini haitaki ubaguzi? Ni mwarabu wa tunisia na waarabu ndiyo walioeneza uislamkwani huyo rais kaongelea dini au umekunywa viloba
Ubaguzi upo katika jamii zote hata waarabu wenyewe kwa wenyewe wanabaguana wanabaguana na waafrika wenyewe kwa wenyewe tunabaguana. Mwarabu wa Oman anaweza kuwa anajiona bora kuliko msudani na mmisri na myemeni akiona bora kuliko msiria. Hebu kumbukeni huku Afrika mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 chanzo ni nini kama siyo ubaguzi Tena uliopandikizwa na wazungu wa ufaransa na ubelgiji?! KWANI MAUAJI YA RWANDA YALIKUWA KATI YA WAARABU NA WAAFRIKA AU NI WAHUTU NA WATUTSI AMBAO WOTE NI WAAFRIKA?! Ubaguzi kila sehemu upo siyo kwa waarabu tu!Kweli mkuu waarabu ukiwakuta paris wanalalamika wakibaguliwa ulaya.Lakini wao kuwabagua waafrika wanaona sawa
Uislamu na uarabu ni vitu viwili tafauti.Ni hapo inaposhangaza muafrika anakumbatia mila na desturi za hao wabaguzi. Hawa ni kuwaachia hata lile dini lao la balaa walilolieneza afrika. Dini likawa la chuki baina ya wafrika na waafrika. Waafrika ndio kwanza wanajinasibu na wao wana unasaba na watu hao wanaowabagua. Liwalo na liwe atokee kiongozi jasiri wa kiafrika aseme hataki mila, desturi na tamaduni za watu hao wabaki nazo hukohuko kwao