Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Hawa shida ni ishu ya dini zao na pia exposure ni tatizo.Hata wazungu wabaguzi ni wale primitives wa mashambani ambao awajawahi tembea
Hii pointi nitaitunza nijifunze kitu kwenye maisha yangu ya kusafiri safiri msomi
 
Usishangae, bofya chini hapa ukamsikiluze dhahabu nyeusi 👇🏾

 
Dini ya uislam ni ya Mwenyezi Mungu, na wao ni binaadam..
 
Dini ya uislam ni ya Mwenyezi Mungu, na wao ni binaadam..
hapo unapoandika dini ya uislam ni ya mwenyezi mungu unakosea. Kuna ambao hawaamini uislam na kuona ni dini ya shetani nao wako sahihi kwa mtazamo wao
 
Jirani nilijua upo dubai kwa wazanbar wenzio mliochangia dubai kuendelea🤣🤣
 
Jirani nilijua upo dubai kwa wazanbar wenzio mliochangia dubai kuendelea🤣🤣
Mie bado nnajipanga kuyasaka ma fursa kibao ya hapahapa. In shaa Allah yatajipa tu. Inabidi tuzichangamkie sana fursa, vijana wetu walio ubaoni wapate vya kufanya.
 
Tatizo kubwa tunalo sisi waafrika wabantu wenyewe! hatujithamini na hatujikubali, unategemea nani atakuthamini ikiwa wewe mwenyewe hujithamini???

Kwani kuna ulazima gani wa sisi kwenda kwenye nchi zao? wabakie kwao na sisi tubakie kwetu, and for the record dunia nzima inatuhitaji sisi zaidi kuliko sisi tunavyowahitaji wao kutokana na resources zetu! Hebu tubakie makwetu, tulinde vilivyo vyetu, tukuze uchumi na tujipende kwa mionekano yetu then tuone kama watakuwa mtazamo huohuo bado. Juu ya mali zote tulizonazo bado tunatengwa je tungekuwa majangwa si ndo vizazi vyetu vingekuwa havipo tena saivi?

Mentality change ndo jambo kubwa zaidi, leo wanawake wetu ili waonekane wazuri mpaka wawe light skinned kwa kujichubua, watie dawa nywele ili zitoke kwenye uasili wake, au wavae mawigi ya nywele za kizungu, yaani sisi wenyewe tunajiona kama faulty product na good product ni wale weupe.

Kama hatutobadili mentality zetu basi bado saana kubaguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…