Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Hawa shida ni ishu ya dini zao na pia exposure ni tatizo.Hata wazungu wabaguzi ni wale primitives wa mashambani ambao awajawahi tembea
Hii pointi nitaitunza nijifunze kitu kwenye maisha yangu ya kusafiri safiri msomi
 
Usishangae, bofya chini hapa ukamsikiluze dhahabu nyeusi 👇🏾

 
Ni hapo inaposhangaza muafrika anakumbatia mila na desturi za hao wabaguzi. Hawa ni kuwaachia hata lile dini lao la balaa walilolieneza afrika. Dini likawa la chuki baina ya wafrika na waafrika. Waafrika ndio kwanza wanajinasibu na wao wana unasaba na watu hao wanaowabagua. Liwalo na liwe atokee kiongozi jasiri wa kiafrika aseme hataki mila, desturi na tamaduni za watu hao wabaki nazo hukohuko kwao
Dini ya uislam ni ya Mwenyezi Mungu, na wao ni binaadam..
 
Dini ya uislam ni ya Mwenyezi Mungu, na wao ni binaadam..
hapo unapoandika dini ya uislam ni ya mwenyezi mungu unakosea. Kuna ambao hawaamini uislam na kuona ni dini ya shetani nao wako sahihi kwa mtazamo wao
 
Usishangae, bofya chini hapa ukamsikiluze dhahabu nyeusi 👇🏾

Jirani nilijua upo dubai kwa wazanbar wenzio mliochangia dubai kuendelea🤣🤣
 
Jirani nilijua upo dubai kwa wazanbar wenzio mliochangia dubai kuendelea🤣🤣
Mie bado nnajipanga kuyasaka ma fursa kibao ya hapahapa. In shaa Allah yatajipa tu. Inabidi tuzichangamkie sana fursa, vijana wetu walio ubaoni wapate vya kufanya.
 
Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu.

Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu, majina yetu, imani zetu na tamaduni zetu na kukumbatia vya wageni na kuita vya mababu zetu ushenzi.

Waafrika Wabantu hatujitambui na nafasi yetu katika hii Dunia

=====

Tunisia’s president, Kais Saied, has told a meeting of security officials that migrants are part of a wider campaign to change the demographic makeup of the country and make it “purely African”.
Tatizo kubwa tunalo sisi waafrika wabantu wenyewe! hatujithamini na hatujikubali, unategemea nani atakuthamini ikiwa wewe mwenyewe hujithamini???

Kwani kuna ulazima gani wa sisi kwenda kwenye nchi zao? wabakie kwao na sisi tubakie kwetu, and for the record dunia nzima inatuhitaji sisi zaidi kuliko sisi tunavyowahitaji wao kutokana na resources zetu! Hebu tubakie makwetu, tulinde vilivyo vyetu, tukuze uchumi na tujipende kwa mionekano yetu then tuone kama watakuwa mtazamo huohuo bado. Juu ya mali zote tulizonazo bado tunatengwa je tungekuwa majangwa si ndo vizazi vyetu vingekuwa havipo tena saivi?

Mentality change ndo jambo kubwa zaidi, leo wanawake wetu ili waonekane wazuri mpaka wawe light skinned kwa kujichubua, watie dawa nywele ili zitoke kwenye uasili wake, au wavae mawigi ya nywele za kizungu, yaani sisi wenyewe tunajiona kama faulty product na good product ni wale weupe.

Kama hatutobadili mentality zetu basi bado saana kubaguliwa.
 
Back
Top Bottom