Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Kama hujaisikia au hukua kwenye maandamano pale tunis kuipinga kauli hii usichangie utapotosha umma.
Mimi niko Tz siko Tunis, wewe uliyeleta mada hapa Tz forum ndiyo unawajibika usijibaraguze.

It seems you do not understand the context of his speech
 
Wewe kweli juha, juzijuzi tu walivyouliwa na jufukuzwa Waafrika huko Afrika Kusini walifukuzwa kwa rangi zao? Au umesahau?
Sasa tatizo lako mdogo wangu unaanza kutumia lugha za kejeli kama"Juha"".Basi mimi sijadiliani tena na wewe,bali wasomi wenzangu wanaojua kujibu hoja kwa ustaha wa lugha,matamshi na hoja
 
weka hiyo speech yote siyo kipande unachokipenda wewe
Hundreds of protesters denounce president’s racist remarks in Tunisia
Demonstrators rally in capital after Kais Saied's comments demanding 'urgent measures' against immigrants he claims bring 'violence, crimes and unacceptable practices'
Source by: AP

Rais ameteleza na uzuri raia wake wamemkosoa kwa kauli yake. Ubaguzi ni suala pana, mathalani kila mtu au jamii fulani imewahi kushiriki jinai ya ubaguzi kwa namna moja au nyingine.

Wakati mwingine huwa siguswi sana na habari za watu weusi kubaguliwa kwa sababu hata sisi ni washiriki wa jinai ya ubaguzi ama kwa jamii zingine au miongoni mwetu.
 
Wewe kweli juha, juzijuzi tu walivyouliwa na jufukuzwa Waafrika huko Afrika Kusini walifukuzwa kwa rangi zao? Au umesahau?
Mambo mengine kwa Mtu mzima kama wewe hata hutakiwi kutetea kwa kulinda misimamo yako ya kidini. “Wrong is Wrong” Popote Unapofanyika ujinga kwa hali yoyote unatakiwa kukemewa bila kujali lolote. Ili limefanywa na muhindi mchina mwarabu mzungu au vyovyote vile. Tuache kuvaa miwani ya mbao ni aina nyingine ya upumbavu.
 
Mimi niko Tz siko Tunis, wewe uliyeleta mada hapa Tz forum ndiyo unawajibika usijibaraguze.

It seems you do not understand the context of his speech
Sawa mkuu ingekua vyema ufafanue wewe speech yake.Sisi wote tunaojadiliana humu na wale walioandamana mjini tunis hatukuelewa context of his speech.Karibu mkuu
 
Upo sahii mkuu sababu ya nasaba za kidini watu huupinga ukweli.Nimewauliza maana neno USTA-ARABU kama wanalielewa
 
Hoja yako imekaa kiujuaji haina maana juu ya lengo la Mwandish,
 
zipo sudani mbili, ile ya kaskazini ni ya waarabu na wapo kwenye umoja wao dunianiani
Wale sio waarabu nakataa mbona team zao Al hilal na El mareek hamna hata mwarabu koko mmoja
 
Sudani kasikazini wabantu wapo na kwenye michezo hasa soka ni wabantu,wahabeshi na wanubi.
Sudan kasikazini iwe na waarabu tushindwe kuwaona kwenye team zao mbona hao kina raja Casablanca, Al ahly, zamareki, esperance tunawaona waarabu ila Sudan hamna hata mmoja angalau hata mwarabu koko
 
Kumbuka amegusia mambo ya migrants ??? Sasa migrants wanatoka wapi!?
 
Sudan kasikazini iwe na waarabu tushindwe kuwaona kwenye team zao mbona hao kina raja Casablanca, Al ahly, zamareki, esperance tunawaona waarabu ila Sudan hamna hata mmoja angalau hata mwarabu koko
Swali zuri nenda pale Khartoum kwenye academy za michezo afu angalia uwiano wa watoto wa kinubi,kiarabu,kihabeshi katika mchezo wa soka,utaona wanubi na wahabeshi wamezidi kwa wingi.Hata kule north darfur jamii za waarabu hawachezagi soka.
 
Kesho tuletee na habari za afrika kusini kuua waafrika wenzao huko kwao na kuwataka kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…