Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Habari wanajamvi,pasi na shaka mpaka unapata muda wa kuperuzi Jf basi upo vyema kama kuna mwenye tatizo basi. tuendelee kumuomba mwenyezi MUNGU atatutia nguvu.
Hebu tutoe majonzi kidogo,hususani huu msiba mzito wa taifa, haya mambo hayana budi kupita.
Kwenye mada:leo nimejikuta nacheka tu hasa nilipokumbuka yale maneno yanayoandikwa kwenye magari makubwa semi trailers,fuso, canter e.t.c.
Kuna Scania moja niliona imeandikwa hivi, (ukiona choo ndotoni usikitumie)
Kila nikifikiria jamaa aliwaza nini sipati jibu
Kuna nyingine imeandikwa hivi
KUOLEWA NI AJIRA
Yaani nabaki kucheka tu,
Hebu share na wewe kituko ulichowahi kukisoma
Uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app