Mange adai anafuatiliwa na 'Watu wasiojulikana'

PROPAGATED NEWS FOR ALL FOOL AND STUPID MEN,SO THEY MAY GO ON TREND FOR,"ILLUSION
 
Hakuna mtu atapoteza hela yake kununua risasi ya kumuua MangeKimambi. Kwa jinsi saratani inavyomtafuna amebakia vimifupa tu vinatembea, anatafuta sympathy tu
 
Paranoia induction - wanajua Fbi wako involved hawawezi kumdhuru, inawezekana wameamua kumfanyia psychological attacks ili awe constantly anxious and fearful.

if so, atasumbuka sana kwa sababu wameshajua udhaifu wake.
 
Paranoia induction - wanajua Fbi wako involved so wanamfanyia psychological attacks ili awe constantly anxious and fearful. Atasumbuka sana kwa sababu wameshajua udhaifu wake.
Sidhani.Kwa watu kama USA,afisa/mtumishi wa umma anajua anaweza kupata matokeo gani iwapo atajulikana ameingilia uhuru wa mtu,kumbughudhi,kuingia eneo lake bila sababu ya msingi,kumtisha,kumpotezea muda au kutumia nafasi yake kimamlaka vibaya!USA si nchi ya "manyani" kwa kiasi hicho.Mtu/watu wa aina hiyo hupewa stahiki yao kwa vifungo "vizuri",kufukuzwa kazi na/au hata kulipa fidia kubwa.Labda hao watu wawe ni mahuni tu yaliyotumwa na mabwana zao uchwara.
 
Kati ya ma-africa mapumbavu yanayostahili kufa haraka sana ni wewe
 
Serikali huwa zinamalizana kiserikali,vyombo Kwa vyombo wanaweza hata kukupiga bei.

Uliza Yale ya mwandishi wa Saudia kule Ankara ilikoishia bwana Kashogi.
Jamal Kashogi unaweza sema kafa kwa uzembe wake mwenyewe.
Unajua serikali yako inakutafuta unaenda kwenye ubalozi wao huko ughaibuni.
 
Wamuue tu kwa kweli kavivu ka kufanya biashara kanataka watu wauwane kalipwe hela ajue serikali yoyote Duniani haichezewj
Hizi ndio akili za UVCCM sasa ambao wanaonekana ni thinktanks wa chama chakavu.

Hivi mkimuua Mange ndio mtakua mmemaliza ufisadi tunauona kwenye ripoti za CAG?

Mkimuua Mange ndio mtakua mmetatua matatizo ya maji , maana kuna post humu za maeneo ya jiji kama Dar es Salaam kitovu cha uchumi cha nchi maji hayapo majuma hadi 3 na hakuna anayechukua hatua.

Mkimuua Mange ndio mtakua mmetatua matatizo ya grid ya taifa ya umeme, fikiria umeme unakatika nchi iko gizani masaa 5 halafu mseme bado mabeberu wanawaonea wivu hivi lingefanyika shambulizi pale hali ingekuwaje?

Mlimpoteza Polepole je wakosoaji waliisha , leo hii tuna wakosoaji wapya wengi tu kwa nini jibu ni kwamba mmempoteza mtu na sio tatizo, mnamuua mleta ujumbe ila ujumbe hamuufanyii kazi.

Kama mlikubalika kwa 98% na mamilioni ya kura inakuwaje mna hofu na mtu mmoja katika zile 2% ? ,hamuoni tatizo sio yeye bali ni nyie na ushawisshi feki wa 98% za kusema mnakubalika.

Fanyieni kazi anayoongea ili akose cha kuongea kumuua Mange mtakua hamjatatua chochote.

Ujumbe uwafikie na Lumumba buku 7 wengine.
 
Kama tulikuwa tunazimiwa internet kwasababu tu mhe Humphrey Polepole anaenda kufanya press kile tena alishaacha kazi serikali wewe unashangaa vipi kwa Mange kimambi
 
Sijakuelewa, unamaanisha hao watu wanaotumika kumuogopesha ni maafisa wa umma?
 
Hakuna mtu atapoteza hela yake kununua risasi ya kumuua MangeKimambi. Kwa jinsi saratani inavyomtafuna amebakia vimifupa tu vinatembea, anatafuta sympathy tu
Kama tulikuwa tunazimiwa internet kwasababu ya Polepole kila akifanya press yake unashangaa vipi kwenye hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…