Mange ni bigmind km mimi aisei..Acha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa
Kwahiyo mange anajua kifo cha sekiNatamani hata niingie kwenye kichwa cha mange nipate huo ubuyuu miee wa seki
Duuuh mashababi wanambonya na kumkamua kinyesiHuyu mtiwa madole huwa hachangii thread yenye page mbili, subili mpaka page ya kumi ndio utamuona Le mtakoz
Wana jf watakutumia bomu la Hiroshima kokote uliko,, Wewe thubutu dada mange kimavi ficha I'd yangu plsWote mnaomdiss Mange na screenshot alafu nampelekea IG..
"Dada Mange ficha ID yangu maana Jf watanitoa roho"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alikua bwana ake lulu akafa ghaflaHuyo seki ndo nani haswa ...wengne hatumjui
Nadhani inawezekana kumshtaki lulu kwa wrongful death kama vile yaliyomkuta O.J Simpson
Huyu manzi mlango wa nane nini?Alikua bwana ake lulu akafa ghafla
Possible maana kuna mwingine namjua kafaHuyu manzi mlango wa nane nini?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] this is so funnyyyAmin usiamini lulu kamzidi mange kwa fedha. Mange choka mbaya
it seems unafahamu kitu flani kuhusu kifo cha kanumba, embu fafanua kidogo umenicha dilemaKanumba alimtengeneza muuwaji....
Mmmh zari amchambue nani na kwa muda gani wa kupoteza alionao,hiyo kazi ya uchambuzi na matusi juu inawafaa jobless kama mange