bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Mange ni bigmind km mimi aisei..Acha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa