Mange amshambulia Lulu

Mange amshambulia Lulu

Acha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa
Mange ni bigmind km mimi aisei..
 
Nadhani inawezekana kumshtaki lulu kwa wrongful death kama vile yaliyomkuta O.J Simpson
 
Nonsenses huyo kama hampendi mtu anataka kila mtu asimpende...
Mambo ya familia huez kujua kwann uyo lulu hataki kuongea na huyo mama kanumba mana kuna wamama wengine nuksi sana....
 
Afu wabongo bhana kila mtu anajifanya anajua sheria....eti wanamshaur uyo lulu asipost mitandaoni et akiwa anapost post sana basi mahama itamuona kama hajali vile.

Like seriously?? Kinachoangaliwa ni quality ya evidence iliyotolewa dats all eti anapost photoshoot cjui blah blah
 
Na iyo kesi uyo lulu anaenda kushindwa sio kwasababu ya cjui anapost post o what...simpo alikua careless kwenye iyo case....

Hasa yale maswali aliyoulizwa kuhusu leseni anajichanganya...na nimeskia alikua anajichanganya sana....

Inshort hakujiandaa mana alikua na case simpo sana
Sasa sielewi kwa sifa kubwa anazosifiwa Peter Kibatala kua ni wakili mzuri....ilikuaje akashindwa kumuandaa mteja wake?????

Kingine nilichomuona Kibatala ni nusu kilaza ni kile kitendo cha kusema eti shahidi mchumba wa Dr Slaa yupo Canada basi mm ngoja nisome maelezo yake like serioulsy???

Evidence Rules simpo zinasema kua kama aliyetoa maelezo(maker of the statement) hayupo baso another person aliyeshiriki ama mwenye knowledge kuhusiana na iyo statement anaweza kutoa hayo maelezo mahakamani...ili kuweka wanachoita "proper foundation".......sasa Kibatala anang'ang'ania asome ayo maelezo kama nani hasa???? Nimeshusha sana

Afu kingine Mawakili wa Serikali ni vilaza sana yaniii yule polisi aliyeitwa kutoa maelezo ya mchumba wa Slaa anaulizwa maswali eti anajibu asiulizwe kitu maana sio yeye aliyetoa maelezo hayooo...afu li State Attorney limekaa tu badala ya kupiga objection ayo mawlezo yasipokelewe maana kama anajibu ivo ina mana automatically....NO CROSS EXAMINATION ya uyo shahidi...na kama shahidi hawezi kufanyiwa Cross E...........
 
Ndugu na marafiki mliye karibu na Mange, tafadhali jamani mwambieni mwenzenu apambane na maisha yake yanayomuhusu kabla hajachanganikiwa.....mzungu kamkimbia atafute kibabu kingine ka kizungu akilambe koni na kutulia naye.
 
Iyo case itawapa watu mafundisho mengi mojawapo usidharau case hata kama ndogo vipi...ndo mana wezi wa kuku wengi ndo wanaoongoza kwa kufungwa maana wana dharau sana case wakiwa mahakamani..

Huyo lulu aliidharau sana iyo case hakua serious ktk kutoa ushahidi na kujitetea....ila namuombea mungu asipigwe mvua nyingi japo inavoonekana kwa hali hii mvua ni imminent....

Pili iyo case imemuExpose peter kibatala sana...kua sio Wakili Mzuri kama anavyosifiwa... kwa navoielewa fani ya sheria..na kwa sifa alizokua anapewa Pita Kibatala...na kwa jinsi hiyo case ilivokua imekaa (imebase sana kweny circumstantial evidence) na kwa jinsi ma state attoneys walivyo vilaza....

Sikutegemea kama Pita Kibatala angeshindwa kuimaliza iyo case kwenye 'Half Time' yanii at the end of the prosecution's case!

Hawa wanajiita mawakili maarufu ukiwa na kesi yako siriazi usimpe wana janja janja nyingi...niliwahi kushuhudia kesi moja ya Mabere Marando pale Kisutu... haha yani janja janja nyingi sana ila ni mtupu wa legal knowledge!
 
Hii rejea ni kwa misukule [aka team Mange kasema] wote wa huyo Mange.

Baada tu ya Kanumba kufariki Mange akaanza kusema kuwa Ray Kigosi ndo mhusika mkuu.

Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Baadaye kukawepo na taarifa za Mange kushikiliwa na polisi kwa sababu ya kumzushia Ray hayo mambo.

Polisi yamshikilia Mange kwa kumhusisha Kigosi "Ray" na kifo cha Kanumba

Rai kwa misukule wa Mange [aka team Mange kasema].....

Msimeze tu kila atapikacho huyo dada bila kutumia akili zenu hata kama nyie siyo majiniasi.....
 
Back
Top Bottom