Mange amshambulia Lulu

Mange amshambulia Lulu

Sina mapenzi kabisa na watu wa bongo move,kila kitu wao nikuigiza tu nakuigiza kwenyewe hawajui,kwanza wengi wao maisha wanayoishi na kiki walizo nazo tofaut,hohe hahe hawa shubaaaaamiti
 
Sijawahi kutoa maoni yangu kuhusu mange anachoandika,ila kwa haya yuko sahihi sana tena zaidi ya sana.kwa kuwa baadhi ya wnawake wenzie hapa jukwaani wametokea kumpinga bila hoja za msingi.watu wasiangalie siku za nyuma mkuu mange alisema nini,wavae koti kama vile wao walikua wanamtegemea kanumba,yaani wawe mama kanumba ndio watamuelewa mkuu mange kimambi,
 
Mange amshambulia Lulu juu ya kesi ya kanumba. Inasemekana sababu kubwa ni ukaribu wa lulu na hoyce temu ambaye ni adui wa mange.
Mange alipotoa ushauri wa lulu kukaa nje ya media alitegemea lulu atakua karibu nae kama anavyofanya wema ila Lulu alimpotezea mange na kuendelea na mambo yake ikiwemo shooting ya movie yake mpya na katika harakati za maisha alikutana na hoyce temu na kuongea mawili matatu hali iliyomkera mange.

Haya hapa baadhi ya mashambulizi ya mange(mama usipitwe)kwa Lulu

Part 1. Jamani sio kama nna roho mbaya, I’m just different from you guys!! Sorry!! . . Mnajua watanzania mna double standards sana! Juzi juzi a lot of you mlikuwa mnamsapoti Magu kuwafukuza shule watoto wanaopata mimba wakiwa shule, kina Mange tukawa tunawatetea kuwa wale ni Watoto hawaju wafanyalo nyinyi mkawa mnasema kama wameweza kuvua chupi sio watoto acha wafukuzwe ila leo kwa Lulu mnasema alikuwaga mtoto Kanumba alikuwaga anambaka. Mnaona jinsi mnachekesha? Watoto wa maskini kufukuzwa shule sababu ya mimba sio Watoto ila mtu maarufu kuuwa bila kukusudia mnasema ni mtoto, so stupid. . . Anyways, let me be truthful why nimeshindwa kuwa na huruma na Lulu au upande wa Lulu. Sababu ni jinsi tu alivyoishi her life the last 5 years. Hakuonyesha hata chembe ya regret for what happened.Mostly hakuwa na huruma na familia ya marehemu. Lulu alitakiwa afikirie kuwa yeye ndio sababu Kanumba hayupo duniani leo, angeonyesha ubinadamu na utu kwa kumsaidia mama wa marehemu ambae alikuwa anamtegemea mwanae kwa kila kitu. Angalau angeonyesha remorse kwa kumjali yule mama lakini soon as kesi yake ilipoisha hakuwa na time nae kawaacha wagange njaa yeye anakula maisha tu. Hata salamu hawapi wakati yeye ndo kawaondolea mtu aliekuwa anawasadia.Yote Tisa 10 issue ya Lulu kushindwa hata kwenda kaburini kwa Kanumba siku ya Kanumba day pale ndo niliposema huyu msichana hana ubinadamu. . . Binadamu wa kawaida angejihisi ana deni kubwa kwa familia ya marehemu sababu yeye ndio kasababisha kifo cha mpendwa wao hata kama nikwa bahati mbaya, so at least huyu mnaemuita mtoto alitakiwa kujua ana deni kwa familia ya marehemu. . . Hivi mtu unaanzaje kuwa na huruma na Lulu wakati yeye hana huruma na wale aliowaletea majonzi makubwa?? Hivi mmewahi hata kumsikia Lulu anafanya kumbukumbu ya Kanumba? Basi asifanye angalau ashiriki kumbukumbu yake.... Lulu is cold, doesn’t care about what she did to that family. Like nothing ever happened! Sio sawa jamani.. . . .Mnaonasema namchukia Lulu ningemchukia ningeongea na issue ya marehemu Seki. Eti Seki alikuwa kwake anamwokoa mtoto asidondokee meza ya glass ndo akaangukia yeye ndo akafa? Embu kaeni kimya nyinyi. Lulu has gotten away with so much.

Part 2. Eti wengine oooh so Lulu akifungwa ndo Kanumba atarudi? Jiulize wewe sasa hivi mtu ambake mwanao hutofatilia kesi? Je akifungwa ndo itakuwa mwanao hajabakwa? Si keshabakwa mbona unafatilia kesi? It’s called justice, inaleta relief kwa familia ya marehemu. . . I swear to God Lulu angeonyesha ubinadamu au remorse na tukio lile sidhani kama leo nisingekuwa upande wake. Ningesema huyu kajifunza kitu. Ila mimi hakuna kitu kinaniuma kama Lulu kuishi as if hana deni lolote kwa familia ya Kanumba. Yani kama vile wasimghasi. Yule mama mwanae angekuwepo asingekuwa anahangaika na daladala saa hizi. Hata kama kamuua kwa bahati mbaya bila kukusudia still ana deni kwa sababu bila yeye kujipeleka nyumbani kwa Kanumba siku ile huku kibwana chake kinamsubiri nje na kupigana/kugombana nae Kanumba angekuwa hai leo. . . . . Ule ushauri niliompa juzi niliandika kwa unafki, nilikuwa natamani nimtukane mitusiiiiiii like anaenda mahakamani anakenua kenua meno na kupiga mapicha na watu na kuchezea simu na furaha tele anasmile mpaka jino la Christmas wakati mama wa marehemu yupo in the same room? Ni ubinadamu huo?? Huyo ni mtu ambae anatakiwa kuachiwa aendeleee na maisha yake?? Anapishana na mama yake Kanumba mahakamani kama hamjui kweli is that fair? Is that okay? Lulu anashindwa kujishusha akamfata yule mama akampa salamu considering yeye ndio kamsababishia yule mama leo anataabika na njaaa za Magufuli? Haki niliandika ile article huku nna hasiraaaaaaa, Nilijitahidi mnoooo kuiweka kistaarabu ila nilitaka kumtukanaaaa, Kweli mama wa marehemu yuko pale ana majonzi, yeye ndo kwanza anaenda kusuka hairstyle mpya marasta marefu mpaka kwenye kinena, anavaa na midi dress na high heels na kupanda migari mikubwaaaa anaenda kumwonyeshea yule mama ambae kapauka anapanda daladala? Huyo ndo mtu ambae mmekaa mnamuombea kwa Mungu? Mtu Akitoka mahakamani anafanya na photoshoot na mavideo shoot eti anabembea, anasmile mpaka jino la mwisho. Huyo ni mtu anaejutia kilichotokea? . . . . Alafu nyinyi watu wa maTeam msinitibue mavuzi nikaanza tapika na ya marehemu Seki . Lulu has gotten away with a lot sababu our justice system is corrupt. . . . Hana utu wala ubinadamu huyo msichana! Period
Sioni tatizo kwenye hii article... kama ni kweli ndicho Lulu anachokifanya anakosea kwa kiasi kikubwa.... sidhani kama inahusiana na bifu.... Yote aliyoyaongea yanagusa.
 
Elimu kubwa ya kujiuza Dubai hadi akampata huyo mzungu na kumganda kama ruba hadi kuzaa nae na baadae kutemwa kama Big G ya sh.100 au Elimu kubwa ya kushinda mitandaoni na kutukana watu ili apate followers wengi??

Bro, don't abuse the word ELIMU.
Hata kama walikutana chooni lakini mzungu alimuoa na alikuwa mke halali. Kuachana ni matokeo tu.
 
ccm kila siku kuna watu maalum kwa ajiri ya kuangalia kaongea nn ili wamjibu....naamini na hapa polepole anaweza kutoa tamko kabisa
 
Sijawahi kutoa maoni yangu kuhusu mange anachoandika,ila kwa haya yuko sahihi sana tena zaidi ya sana.kwa kuwa baadhi ya wnawake wenzie hapa jukwaani wametokea kumpinga bila hoja za msingi.watu wasiangalie siku za nyuma mkuu mange alisema nini,wavae koti kama vile wao walikua wanamtegemea kanumba,yaani wawe mama kanumba ndio watamuelewa mkuu mange kimambi,
Mkuu ubarikiwe tena!
 
Huyo Death agent atakapofungwa tuiombe mahakama iamuru awekwe kwenye sero ya peke yake! Maana historia yake inaonyesha kuwa mtu yeyote aliye karibu naye yupo kwenye death zone!!
 
Hapo hajatibuliwa vuzi,, akitibuliwa cjui itakuwaje
 
Huyo Death agent atakapofungwa tuiombe mahakama iamuru awekwe kwenye sero ya peke yake! Maana historia yake inaonyesha kuwa mtu yeyote aliye karibu naye yupo kwenye death zone!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwani Mange ni nani jamani? Mi mpaka leo nasikiaga tu habari zake lkn simjui ni nani
 
Huyo Death agent atakapofungwa tuiombe mahakama iamuru awekwe kwenye sero ya peke yake! Maana historia yake inaonyesha kuwa mtu yeyote aliye karibu naye yupo kwenye death zone!!
Sijajua chochote kuhusu Lulu lakini siamini pia kama ana uwezo mkubwa wa kuweza kuua. Hiyo ni mikasa katika maisha mkuu.

Wapo wanawake wakiolewa tu waume zao hufa, bhasi huyo mwanamke huwa ni ngumu kuolewa haswa, anabaki kunyooshewa vidole, kama hujitaki kaoe pale.

Pia wapo wanaume wa namna hiyo, so huwa siamini sana kwenye hivi vitu, ila nimewahi kuvisikia sana.
 
Huyo Death agent atakapofungwa tuiombe mahakama iamuru awekwe kwenye sero ya peke yake! Maana historia yake inaonyesha kuwa mtu yeyote aliye karibu naye yupo kwenye death zone!!

Kha wivu Bhana ...! Kwahyo Watu wote waliokufa katembea nae yeye ??? vp kuhusu Ali Kiba. Achen hizo Au nyie mabwana zenu wataishi milele
 
Sijajua chochote kuhusu Lulu lakini siamini pia kama ana uwezo mkubwa wa kuweza kuua. Hiyo ni mikasa katika maisha mkuu.

Wapo wanawake wakiolewa tu waume zao hufa, bhasi huyo mwanamke huwa ni ngumu kuolewa haswa, anabaki kunyooshewa vidole, kama hujitaki kaoe pale.

Pia wapo wanaume wa namna hiyo, so huwa siamini sana kwenye hivi vitu, ila nimewahi kuvisikia sana.

Inawezekana Lkn ..back to lulu kafiwa na wanaume wawili tunaowajua na kwa akili ya kawaida tu hawezi akawa katombwa na wanaume wa2 Maisha yake yote..Ni mitihani tu
 
Back
Top Bottom