USA evidence na non verbal ndio vinawaweka watu ndani.wanamwacha atukanee ili ajitundike mwenyewe .Charges zake zinakuwa ( harassment ,online stalking,stealing ,verbal assault ,bribery )mwacheni Wajomba watakuwa wanam soma tuu saizi.Huyo mwenye biashara comment zake zimekaa kielimu na kisheria .usa hapa atajikuta ndoa chali watoto full custody mume atapewa haya.na Kama Mumewe anafurahia Haya basi mume anamtafutia Sababu hard evidence ya kuachwa .haya
Sasa wao wanamchamba hadi kiswahilii utafikiri anajua kiswahili huyo mnugu ma yoweeee
Kwanza product ni ya kwakwe au siyo? Kuondoa kwake trade mark bado hakumpi haki ya kuwa mmiliki wa product husika!je alikopi hajakopi? Alitoa credit lwa mwenye mali au hakutoa?? Pale mbulula tu ndio wa kumielewa ILA kwa critical thinkers ule ni wizi. Period. Since washabiki wake wengi (sio wote ILA ni wengi) ni wa master za chupi a.k.a shallow minded km ile ya makombe watamuelewa tu
MBA Ndio ilimfundisha kucopy na kupaste bila ruhusa shoga. Like garasha na si MBA. Business Ina process zake yeye kujitia international hajui copyright na trademarks ??? Hii bonge la Kesi kibiashara za kisomi.yule mmachinga full stop
Maana binamu mange kutwa alikuwa ni shipping cost na madolali tu mmh nikajisemea mange mwaka huu katuweza kumbe wote huu usanii , si kashatuona wabongo shopping za online ni washamba washazoea kununua nguo minadani basi ,mwenzetu kakazana tu na shipping cost hatak masihara
NIlikuwa naona binamu, ntafanyaje sasa, nikajisemea mange siku izi hatak mchezo anaongea na madola tu na shipping cost mara apige picha mwenyew ana post yeye ni $ na shipping cost ,mange alikuwa haongei sana,vitendo ndo vilikuwa vinaongea, nashangaa leo anavyoshuka na mistar uko insta, sijui page ya ngapi now, mbona analo leo kumbe hakuna shipping cost wala nini mmh ndo alikuwa anajifanya na yeye ndo akina Gucci sijui
ukiona kaandika nakala ka za gazeti la Rai jua kapanick tena kapanick hasa .....
wacha niendelee kucheka mie
Trebellawigs amekanusha madai ya mange kwamba alitoa oda. A mmesema hakuna oda yeyote ambayo mange alifanya. Amekimbiwa atoe ushahidi wa risiti ya malipo ya hiyo sample ya wigi la Afro kinky
hahahaaaaaa....!na hivi wengine hatujui chochote maaamumaa tu leo kutudanganya jamani kkaah we mange weeeee.....!waumiza roho yangu mieee!
KwelijamiiForum nimeamini ni ya magreat thinkers manake ukisoma kwenye blog ya mangemashabiki wake wanamtetea na kosa linaonekana wazi. Kweli MBA ya mwarabu haijamsaidiakabisa. Yeye kuondoa trademark zatrebellawigs ni kosa kubwa, sasa madai yake anafananisha na Gucci, wellukiondoa trademarks kwenye picha from Gucci website still the Gucci bags willhave labels clearly identifying them as Gucci.
Yeyealivyoondoa trademark ya mawig yale mawig mtu yeyote hawezi kujua nani mmiliki,if anything I thought Mange anayo mawig mkononi ndo anayauza kumbe walaa ndokwanza anataka achukue hela za walugaluga, hela hizo hizo akazinunulie nywele apelekekwa trebellawigs yatengenezwe baada ya miezi mine ayatume bongo. Yeye mange angejisikiaje mtu angechukua nguozake za vitenge, afute trademark ya bongolicious azirushe kama vile mmiliki wanguo hizo aziuze kwa profit??? Mange angepiga kelele, so what she did remainsto be wrong, she stole someone elses work of their hand and she has yet toapologize.
Mangeungetumia akili ungeomba msamaha wa kufuta trademark, ungemweleweshatrebellawigs kwamba ulichukua picha za mawig yake ili tuu uwaonyeshe watejaukusanye oda zao na kwamba ulikuwa na mpango wa kuzipeleka hizo oda kwakeawatengenezee mawigi hapo ningekuona umesoma.
Tribellawigskwa mtazamo wake since mange only ordered 1 wig from her alidhani mangeamechukua picha zake za mawigi anazitumia kuwamislead wateja halafuanawapelekea hao wateja mawigi mengine ambayo sio from tribellawigs .All mangeneeded to do was explain this to tribellawigs but akili ya mange inamtumia etisince alimrefer huyo tribella as a supplier that was enough pliz mange suppliercan be anyone na kama mange ni honest professional business woman she wouldhave done the right thing.
Sasa MBAya mwarabu imemtuma atukane watu weusi jamani ujinga mzigo watu weusiwametukanwa na bado wameendelea kumsifia cha ajabu ni kwamba hata hayo mawigiwatakaonunua ni watu weusi. Halafu ukisomahistoria utajua vitu vingapi vikubwa watu weusi wameinvent ila yeye naukurupukaji wake kadai ndo maana wazungu wanainvent kila kitu maskini ujingamzigo aisee.
Nachomshangaamange ni kwamba if tribellawigs akiamua kupeleka kesi mahakamani, akamshtakimange for copyrights mange akiulizwa na administrative judge did you takepictures and remove trademarks the judge will award tribellawigs whatever shesued for and mange will be liable to pay now instead of clearing that simpleissue ameamua kuwatukana leyla linda na chaggabarbie. Mange jiulize kwa nini instagram walitakedown all your post za wig..instagram have ethics they knew you stole thepictures and took them down you should have learned from this lesson instead yakuanzisha bifu la kutukanana.
Mangeukikosea lazima uambiwe na sio kila anaekukosoa anakuonea wivu, yes kina lindana chaggabarbie walishadadia mno ila ni maadui zako so it was expected but foryou to start character assassinations is kind low, I mean give it a rest itsgetting old attacking leyla and her high school issue.
Jamani najuanimeandika kiswakinge kwanza ID yenyewe ni ya mmewangu akikuta nimecommentujinga kama huu hahahahahahhahaha ila msinishambulie kiswakinge changu I just couldntdecide lugha ya kutumia(only 2% of my brain is working right now lol)
Mmh alituweza maana wengine apa umbea mwingi hata mambo ya shipping cost hatuyajui, mmh kweli mange alituweza ila mna ijeria kamuweza zaidi, leo hana hamu mbil haikai tatu haikai chezea mama shipping cost weye
Mmh alituweza maana wengine apa umbea mwingi hata mambo ya shipping cost hatuyajui, mmh kweli mange alituweza ila mna ijeria kamuweza zaidi, leo hana hamu mbil haikai tatu haikai chezea mama shipping cost weye
yani hapa nasubir ntulie niinhie vzr ig nkaone umbea huko maana sijatulia vizuri ila mange leo kajuuuuttraaaaaa....!akomeeeee.... ushazoea dagaaaa...lako hiloooo limekuganda najua misukule yako itasomaaa hapa leo japo kimya kimya!hilooooooooo......!umefuliaaaaa.....!
Trebellawigs amekanusha madai ya mange kwamba alitoa oda. A mmesema hakuna oda yeyote ambayo mange alifanya. Amekimbiwa atoe ushahidi wa risiti ya malipo ya hiyo sample ya wigi la Afro kinky
Watu wabaya binamu, uko insta wakienda wanamsifia mange na kum support wakienda kwenye blog yake vichambo kama kawa chezea wabongo wewe aka machakubimbi
Watu wabaya binamu, uko insta wakienda wanamsifia mange na kum support wakienda kwenye blog yake vichambo kama kawa chezea wabongo wewe aka machakubimbi
Jamanii nataka kusoma michambo ya chagga bebii mbona siioni maana naona nae anachambwaaa loo,wapii linda chamba kabisa huyo mange anamchambaga mtoto wako wakati nae anae wa kike helooooiiii
Aisee kama kuandika anaandikaa Mangee yaan ukiingia blog yake yaan ni gazetii mpaka unachokaaa duuuu ni sheeeeedaa leo mzungu havuliwi chupii leooo