Mange asutwa live

Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
USA evidence na non verbal ndio vinawaweka watu ndani.wanamwacha atukanee ili ajitundike mwenyewe .Charges zake zinakuwa ( harassment ,online stalking,stealing ,verbal assault ,bribery )mwacheni Wajomba watakuwa wanam soma tuu saizi.Huyo mwenye biashara comment zake zimekaa kielimu na kisheria .usa hapa atajikuta ndoa chali watoto full custody mume atapewa haya.na Kama Mumewe anafurahia Haya basi mume anamtafutia Sababu hard evidence ya kuachwa .haya

Sasa wao wanamchamba hadi kiswahilii utafikiri anajua kiswahili huyo mnugu ma yoweeee
 
Sasa wao wanamchamba hadi kiswahilii utafikiri anajua kiswahili huyo mnugu ma yoweeee

Ukiona hivo wamepaniki wakati ni kweli wametangaza bidhaa bila ridhaa yake matusi hayawasaidii kitu wajipange tu vizuri
 
je alikopi hajakopi? Alitoa credit lwa mwenye mali au hakutoa?? Pale mbulula tu ndio wa kumielewa ILA kwa critical thinkers ule ni wizi. Period. Since washabiki wake wengi (sio wote ILA ni wengi) ni wa master za chupi a.k.a shallow minded km ile ya makombe watamuelewa tu
Kwanza product ni ya kwakwe au siyo? Kuondoa kwake trade mark bado hakumpi haki ya kuwa mmiliki wa product husika!

Alicho kifanya ni sawa na mtu kununua coca-cola halaf anaondoa hile trade mark pale juu na kuandika jina lake ,mfano unaondoa neno "coca-cola" na kuandika neno " Mange soda" lakini ingredient za product bado zipo pale pale na unauza, ukikamatwa ni mwizi!

Alicho takiwa kufanya Mange ni kuwa siliana na wenye product wa saini deal na alipie gharama za product design au ange kuwa ana yanunua kama yalivyo na kuyauza na yeye ana kuwa kama Agent tuu!

Alicho fanya ni wizi mkubwa watu wana tumia muda na gharama kubwa kudesign product halafu yeye anazichukua na kuweka jina lake!

Angekuwa ana fikiri vyema ange badilisha product design!

Nita washangaa sana hao jamaa wakimuacha hivi maana Nina uhakika kawatia hasara na ametumia product yao kujipatia pesa!

Hivyo Mange ni mwizi kama wezi wengine na kama watampeleka mahakamani ita mgharimu sana.
 
MBA Ndio ilimfundisha kucopy na kupaste bila ruhusa shoga. Like garasha na si MBA. Business Ina process zake yeye kujitia international hajui copyright na trademarks ??? Hii bonge la Kesi kibiashara za kisomi.yule mmachinga full stop

safi sana naona tena mswazi dot com wapiiiiii team mangeeeeee.....!yamewashukajeeeee....!njoooni njooooni!
 
Maana binamu mange kutwa alikuwa ni shipping cost na madolali tu mmh nikajisemea mange mwaka huu katuweza kumbe wote huu usanii , si kashatuona wabongo shopping za online ni washamba washazoea kununua nguo minadani basi ,mwenzetu kakazana tu na shipping cost hatak masihara

hahahaaaaaa....!na hivi wengine hatujui chochote maaamumaa tu leo kutudanganya jamani kkaah we mange weeeee.....!waumiza roho yangu mieee!
 
NIlikuwa naona binamu, ntafanyaje sasa, nikajisemea mange siku izi hatak mchezo anaongea na madola tu na shipping cost mara apige picha mwenyew ana post yeye ni $ na shipping cost ,mange alikuwa haongei sana,vitendo ndo vilikuwa vinaongea, nashangaa leo anavyoshuka na mistar uko insta, sijui page ya ngapi now, mbona analo leo kumbe hakuna shipping cost wala nini mmh ndo alikuwa anajifanya na yeye ndo akina Gucci sijui

hahaaaaaa binamu mbayaaaaa.....!
 
Trebellawigs amekanusha madai ya mange kwamba alitoa oda. A mmesema hakuna oda yeyote ambayo mange alifanya. Amekimbiwa atoe ushahidi wa risiti ya malipo ya hiyo sample ya wigi la Afro kinky
 
Trebellawigs amekanusha madai ya mange kwamba alitoa oda. A mmesema hakuna oda yeyote ambayo mange alifanya. Amekimbiwa atoe ushahidi wa risiti ya malipo ya hiyo sample ya wigi la Afro kinky

team mange wapiiii.

!hai hoi.....??????!!!
 
hahahaaaaaa....!na hivi wengine hatujui chochote maaamumaa tu leo kutudanganya jamani kkaah we mange weeeee.....!waumiza roho yangu mieee!

Mmh alituweza maana wengine apa umbea mwingi hata mambo ya shipping cost hatuyajui, mmh kweli mange alituweza ila mna ijeria kamuweza zaidi, leo hana hamu mbil haikai tatu haikai chezea mama shipping cost weye
 
KwelijamiiForum nimeamini ni ya magreat thinkers manake ukisoma kwenye blog ya mangemashabiki wake wanamtetea na kosa linaonekana wazi. Kweli MBA ya mwarabu haijamsaidiakabisa. Yeye kuondoa trademark zatrebellawigs ni kosa kubwa, sasa madai yake anafananisha na Gucci, wellukiondoa trademarks kwenye picha from Gucci website still the Gucci bags willhave labels clearly identifying them as Gucci.

Yeyealivyoondoa trademark ya mawig yale mawig mtu yeyote hawezi kujua nani mmiliki,if anything I thought Mange anayo mawig mkononi ndo anayauza kumbe walaa ndokwanza anataka achukue hela za walugaluga, hela hizo hizo akazinunulie nywele apelekekwa trebellawigs yatengenezwe baada ya miezi mine ayatume bongo. Yeye mange angejisikiaje mtu angechukua nguozake za vitenge, afute trademark ya bongolicious azirushe kama vile mmiliki wanguo hizo aziuze kwa profit??? Mange angepiga kelele, so what she did remainsto be wrong, she stole someone else’s work of their hand and she has yet toapologize.

Mangeungetumia akili ungeomba msamaha wa kufuta trademark, ungemweleweshatrebellawigs kwamba ulichukua picha za mawig yake ili tuu uwaonyeshe watejaukusanye oda zao na kwamba ulikuwa na mpango wa kuzipeleka hizo oda kwakeawatengenezee mawigi…hapo ningekuona umesoma.

Tribellawigskwa mtazamo wake since mange only ordered 1 wig from her alidhani mangeamechukua picha zake za mawigi anazitumia kuwamislead wateja halafuanawapelekea hao wateja mawigi mengine ambayo sio from tribellawigs….All mangeneeded to do was explain this to tribellawigs…but akili ya mange inamtumia etisince alimrefer huyo tribella as a supplier that was enough…pliz mange suppliercan be anyone na kama mange ni honest professional business woman she wouldhave done the right thing.

Sasa MBAya mwarabu imemtuma atukane watu weusi…jamani ujinga mzigo watu weusiwametukanwa na bado wameendelea kumsifia cha ajabu ni kwamba hata hayo mawigiwatakaonunua ni watu weusi. Halafu ukisomahistoria utajua vitu vingapi vikubwa watu weusi wameinvent ila yeye naukurupukaji wake kadai ndo maana wazungu wanainvent kila kitu…maskini ujingamzigo aisee.

Nachomshangaamange ni kwamba if tribellawigs akiamua kupeleka kesi mahakamani, akamshtakimange for copyrights mange akiulizwa na administrative judge did you takepictures and remove trademarks the judge will award tribellawigs whatever shesued for and mange will be liable to pay…now instead of clearing that simpleissue ameamua kuwatukana leyla linda na chaggabarbie. Mange jiulize kwa nini instagram walitakedown all your post za wig..instagram have ethics they knew you stole thepictures and took them down…you should have learned from this lesson instead yakuanzisha bifu la kutukanana.

Mangeukikosea lazima uambiwe na sio kila anaekukosoa anakuonea wivu, yes kina lindana chaggabarbie walishadadia mno ila ni maadui zako so it was expected but foryou to start character assassinations is kind low, I mean give it a rest itsgetting old attacking leyla and her high school issue.

Jamani najuanimeandika kiswakinge kwanza ID yenyewe ni ya mmewangu akikuta nimecommentujinga kama huu hahahahahahhahaha ila msinishambulie kiswakinge changu I just couldn’tdecide lugha ya kutumia(only 2% of my brain is working right now lol)

Mange doesn't have that brains she is insane totally insane without knowing kwamba ni mgonjwa mbaya zaidi ana supporters ambao ni insane kama yeye
Nyerere angekuwepo angekula viboko na angerudi bongo by foot
 
Mmh alituweza maana wengine apa umbea mwingi hata mambo ya shipping cost hatuyajui, mmh kweli mange alituweza ila mna ijeria kamuweza zaidi, leo hana hamu mbil haikai tatu haikai chezea mama shipping cost weye

yani hapa nasubir ntulie niinhie vzr ig nkaone umbea huko maana sijatulia vizuri ila mange leo kajuuuuttraaaaaa....!akomeeeee.... ushazoea dagaaaa...lako hiloooo limekuganda najua misukule yako itasomaaa hapa leo japo kimya kimya!hilooooooooo......!umefuliaaaaa.....!
 
Aisee kama kuandika anaandikaa Mangee yaan ukiingia blog yake yaan ni gazetii mpaka unachokaaa duuuu ni sheeeeedaa leo mzungu havuliwi chupii leooo
 
Watu wabaya binamu, uko insta wakienda wanamsifia mange na kum support wakienda kwenye blog yake vichambo kama kawa chezea wabongo wewe aka machakubimbi
 
Trebellawigs amekanusha madai ya mange kwamba alitoa oda. A mmesema hakuna oda yeyote ambayo mange alifanya. Amekimbiwa atoe ushahidi wa risiti ya malipo ya hiyo sample ya wigi la Afro kinky

Chagga bebi kamwambia Mange waweke bank statement zao tuone nani mwenye fwedha mingii et chagga anamzidi mshahara hubby wa Mange, Mange anachambajee uwiiiiiiiiii natamani nijoin insta leoo
 
Watu wabaya binamu, uko insta wakienda wanamsifia mange na kum support wakienda kwenye blog yake vichambo kama kawa chezea wabongo wewe aka machakubimbi

Kwenye blog yake ukimchamba anakublock huyoooo hahajhhhhhhaaaaaaa
 
Watu wabaya binamu, uko insta wakienda wanamsifia mange na kum support wakienda kwenye blog yake vichambo kama kawa chezea wabongo wewe aka machakubimbi

hahaaa wanauma na kupuliza saaafi leo sjui km atalala no shipping no air line no e business hapo ndo yuko ulaya kweli kunguru hafugiki mana hiyyo michambo lllloooooh!
 
Jamanii nataka kusoma michambo ya chagga bebii mbona siioni maana naona nae anachambwaaa loo,wapii linda chamba kabisa huyo mange anamchambaga mtoto wako wakati nae anae wa kike helooooiiii

Hahah Dinazarde umechelewa umbea leo shostisto...
 
Last edited by a moderator:
Aisee kama kuandika anaandikaa Mangee yaan ukiingia blog yake yaan ni gazetii mpaka unachokaaa duuuu ni sheeeeedaa leo mzungu havuliwi chupii leooo

Leo kakamatika badala ya kujibu tuhuma zake anaanza kumalizia wengne hasira akina linda na.chaga baby badala arekebishe mambo anatukana matusi wakati mwenyewe ana watoto ni shida hao.wanamsifia upuzi tu.wakienda kisheria ataumia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom