Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
Halooo ya international business woman anaekopi vya wait an kufuta logo heheheh
Jamani mlitaka aache mjue anapozitoa biashara yake iharibike?
Sema ndo hivyo kimbelembele kimemponza bi dada.
Hajajibiwa keshatangaza biashara.
He he hehyaaaa usipojipangantakupanga naona asubuhi alimpanga sa hivi keshampangua.
 
Wenu kwenye umbea
 

Attachments

  • 1405510793721.jpg
    95.5 KB · Views: 241
  • 1405510860451.jpg
    59 KB · Views: 226
  • 1405510884826.jpg
    70.7 KB · Views: 219
  • 1405510908605.jpg
    72.8 KB · Views: 219
  • 1405510927260.jpg
    61.7 KB · Views: 207
Inatosha kwa leo
 

Attachments

  • 1405510971515.jpg
    59.8 KB · Views: 192
  • 1405511002650.jpg
    70.2 KB · Views: 189
  • 1405511045011.jpg
    79.3 KB · Views: 198

nimekusoma sasa nimeelewa!i
 
Maskin Mange, kwa hili lililomkuta maziwa yanaweza kukata ghafla ashindwe nyonyesha mwanae mchanga, muoneeni huruma mwanamke mwenzenu hivi mnavyosemsema ndio mnamzidishia machungu. Ni mdada mtafutaji sana.
 
BADILI TABIA huko ig ya tribellawigs inachekesha wabongo wanacoment kiawahili na matusi juu as if mwenyewe anawaelewa.
Looo Dinazarde leo anapitwajeeeee.
Ila bibie kakosea angeomba msamaha kiutuuzima wangeyamaliza yeye kahamia kwa matusi kwa wasiyoyahusu.
Kumbe lb ana beef nae kutokana na kumuibia id ya kazi yake ndo nimesoma leo.
He heheyaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Binamu walitukanana hatari si unamjua mange akikuweka kwenye blog yake watu wanatukana balaa,
 
Last edited by a moderator:
Maskin Mange, kwa hili lililomkuta maziwa yanaweza kukata ghafla ashindwe nyonyesha mwanae mchanga, muoneeni huruma mwanamke mwenzenu hivi mnavyosemsema ndio mnamzidishia machungu. Ni mdada mtafutaji sana.
USA hakuna deal .Work hard follow the law .kuchukua picha na kuweka Kwenye website is a crime .TRADEMARK inalipiwa na people pay tax na kila mtu work hard kuwa na good reputation .Mimi ningekuwa mange ningeomba msamaha na nisingeanza matusi na ugomvi.Biashara inahitaji uvumilivu ,compassion na uaminifu .Mange hajui huyu dada .Je akimshtaki FBI as a scammer na IP lawyer akamchunguza mange itakuwaje ?Mange alianza na bongolicious akawa anauza Nguo je hizo Nguo ni yeye ameshona au design ?( imagine mtoto wako anaibiwa na anabadilishwa jina how will you feel ). Mange alikuwa anafanya biashara na mtu yupo Nigeria ( USA na wanigeria wanawaita scammers ni suspect hapa USA ) so number one don't do business na m Nigeria ( unajuaje Huyo m Nigeria ndio alimtenda ?) .Ningekuwa mange ningetulia kimya kuandika matusi makelele ni sigh ya kuwa she is guilt .Kaa tulia na family yako think deep about life na consequences zake .Be nice to people sasa unapotukana
ndio unaongeza maadui na biashara haiitaji maadui.Akikureport FBI utafanya nini kaa kimya basi yaishe .Siri ya mafanikio ni kujua kitu wewe peke yako wanigeria wa nini ?Life is too short be nice and people will be nice to you .Smile and be happy celebrate life not money .Please God not a society
 

Kisheria ni kosa tena kubwa sana tu unless otherwise huyu American asiwe amerejista kazi yake kama ndie owner.

Hayo matusi si Mange ndo kawaagiza (kwa mujibu wa maandishi ya lines za mwisho kwenye blog kwamba "nimewaagiza vijana wangu wakamwambie nywele zangu akizipata azirudishe"..haya ni maneno tu lakini kutokana na tabia ya Mange inamaanisha kawaagiza wakamchambe.)
 
Exactly trademark stealing is a felony na 10 years in prison .
 

hana lolote yule mwanga tu na kwa mganga wake mi hajaniroga alinipoteza siku alipomuambia sintah kakopa na kuongelea ugomvi wa shamim na mboni nkajua ana roho mbaya na hapendi watu wamzidi nkaajaua hanifai na wala hafai kua mfano
 

lb anatumia jina gani instagram?
 
Last edited by a moderator:

Hehehehehe Huko aliko kiti kinawaka moto
 
nimesoma huu umbeya...karibu wote naomba niulize swali kwa, amu... Heaven on Earth.. BADILI TABIA... tAiTIANA,,na wengineo...ni nani kati yenu amewahi kununua hizo wigi iwe kwa Mnugu au kwa Mange?
..na sidhani kama mngeweza kununua hizo wigi kwa Price ya $800-900....
 
Last edited by a moderator:

umeongea points tatizo mange hakubali kushindwa hata siku moja yani anajiona much know.
Bora hekma na busara kuliko mali
Kusoma kuelewa kukesha mbwembe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…