Mange asutwa live

Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
kuna watu wamemmind mange kuiba kazi ya mtu na kuna wengine wamemmind mange kwakuwa anapata faida kubwa...kwa utafiti wangu mdogo waliomind sana ni wale ambao wameona mange anatengeneza faida kubwa!......
 
Kosa la Mange ni kutokuwa mvumilivu na kungojea ajibiwe e mail kama watafanya biashara au la, yeye kachukua picha za mtu huyo kaweka kwenye ig yake, angengojea kwanza mchecheto ndo uliomponza na hivi watu wengi hawampendi ndo wamepata sababu ya kufurahi
 
ukiwa unapenda umbea uwe na vitendea kazi.......

naona ushaekewa lakin BADILI TABIA ka do z needful

Imeshafunguka tayari.
He he he badala ya kudeal na mnugu anadeal na wengine.
Yeye angemalizana naekimya kimya angemuelewesha kisha wangefanya biashara angerudisha feedback hapo angecheza kqmq pelle.
Asa na yeye anachambana kama hao wengine.
Shoga yangu mimi nipo full vitendea kazi vya umbea sema network yangu edge inazingua kufungua gazeti la mange ila imeshafunguka.
 
Last edited by a moderator:
kuna watu wamemmind mange kuiba kazi ya mtu na kuna wengine wamemmind mange kwakuwa anapata faida kubwa...kwa utafiti wangu mdogo waliomind sana ni wale ambao wameona mange anatengeneza faida kubwa!......

Tatizo ni moja tu kimbelembele tu.
Umetuma email hujajibiwa haimaanishi umekubaliwa.
Mpaka kuchukua picha za bell na kuzitangaza kwa ig yake wakati hujajibiwa.Na hamna makubaliano.
Kinachomponza ni hiko tu mchecheto.
Baada ya kina lb kuweka mapost ye angemtafuta mnugu angemuelewesha naimani wangeelewana tu maana na yeye ndo hapo angepata kazi nyingi na si kuanza kuchamba watu.Hajaitendea haki hiyo masters yake.
 
Imeshafunguka tayari.
He he he badala ya kudeal na mnugu anadeal na wengine.
Yeye angemalizana naekimya kimya angemuelewesha kisha wangefanya biashara angerudisha feedback hapo angecheza kqmq pelle.
Asa na yeye anachambanq kama hao wengine.

Kapanick sana ndo kwa maana
 
hahaha Mange leo kaipata na ye mwenyewe kesha admit kuwa kaanza kutumia bidhaa na kutoa ile trademark... angekua muwazi lakin ye akaminya kama yake. Silence sometimes mean NO labda yule dada alikua hataki kufanya biashara nae.. mashauzi clasic akaamua kuanza kufanya yake asifiwe......mtu ana MBA hapo ambayo it says a lot kuhusu business angekua kasoma community development si ingekua balaa....

halafu anasema hataki Shari mwezi huu ye alivyokuwa anamchambua kama karanga mume wa dida hakuyajua hayo yote. na anajichanganyaje sasa....

Mara oonh si deal na illegal immigrants hu deal na illegal immigrants halafu ushaandika page nzima kumuhusu.

HAJAJIPANGA WACHA WAMPANGE VIZURI.

weraweraaaaaaaaa.....!ama kweli Malipo ni hapa hapa duniani!leo leo leo!huyooooo mange mdogo km piritoni
 
Aisee wanaweke mna roho nyeusi mnapoona mwenzenu anafanikiwa acheni roho mbaya na wivu alaa

hakuna mwenye roho mbaya kama mange ndo mana watu wanafurahi ye anajiona dtop ndo maaana humjui yule wewe mshenzk km nin yule mi nlikua nampenda sana ila baada ya sintah kufungua duka akamchamba eti kakopa daaah!simpendi hata kidogo nshamuona anataka awe juu yeye!
 
Mange huwa ana idea nzuri tatizo hanaga kauli nzuri na anajiona yeye tu ndo anaweza ni better than any one hasa case ya sintah ndo nikimutoa maanani ndo mana wengi wanamshambulia kwa kujiona yuko.juu
 
Mange kakanaza kumtukana tu linda mara Leyla mtoyo wa lb ryi ampe ajira akachukue hayo mawigi. Looooo angekuwa kisomi kidogo kwanza kumalizana na tribella afu waweke sawa.
Ndo aanze mitusi yake

ndo anamalizia hasira zake kwa linda hana lolote ukiujua huu wenzio waujia ule weraaaaa!
 
Tatizo ni moja tu kimbelembele tu.
Umetuma email hujajibiwa haimaanishi umekubaliwa.
Mpaka kuchukua picha za bell na kuzitangaza kwa ig yake wakati hujajibiwa.Na hamna makubaliano.
Kinachomponza ni hiko tu mchecheto.
Baada ya kina lb kuweka mapost ye angemtafuta mnugu angemuelewesha naimani wangeelewana tu maana na yeye ndo hapo angepata kazi nyingi na si kuanza kuchamba watu.Hajaitendea haki hiyo masters yake.
Hata Kama wangekubaliana still kufuta water mark ni kosa kubwa. Alipaswa apige product alizouziwa kivyake vyake. Ukitumia za Bella basi weka na watermark
 
Shogangu mgumu kuelewa khaaaaa.
Division 5 inakuhusu!!!!!
Bwana ya u turn siyo hiii.

Binamu huyo ndo anajifunza umbea bhana, nenda nae taratibu atazoea tu si unajua tena humu ndo habar ya mujini
 
Halooo ya international business woman anaekopi vya wait an kufuta logo heheheh

Binamu umejiandaa? Maana nasikia mange kaenda martial arts kwenye ndondi yupo vizur sasa akikamata mtu yule shughuli yake sio ndogo, maana nina vihistoria vyake alishawahi kudunda watu kadhaa so ombea mungu msikutane live mkutane tu huku jf na insta maana yule mwana mama ni mafia maana ana libezi ukisikia lazima ukae
 
Hata Kama wangekubaliana still kufuta water mark ni kosa kubwa. Alipaswa apige product alizouziwa kivyake vyake. Ukitumia za Bella basi weka na watermark

Nyie mange huyu kiboko ndo nini kutufanya wabongo misukule kiasi hiki, mi kila siku naona kwenye insta ana post picha sijui $400 mara shipping cost sijui ,maana hayo mambo wengine hatuyajui sie tushazoea kununua nguo za mia mbili kwenye minada sasa uniambie niagize nguo ulaya wapi na wapi? mmh leo yamemkuta bi mkubwa, yani apo kama namuona anavyotaman kuja bongo aweke mambo sawaa maana bi mama ni mshari haswaa
 
  • Thanks
Reactions: GSW
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom