Mange asutwa live

Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
Hivi chagababi anafanya kazi gani mjini??????

Shosti hata naelewaga basi... mi daily namuona na mishemishe za mapicha kwenye restaurants tu. Kuna comment nimeona amesema anafanya kwenye healthcare mange aende akapate ajira asampliment kipato cha mzungu na wapunguze madeni
 
We si hutaki kuniunganisha na waheshimiwa first class....
Mjini msingi nanihii...sasa mwenzio mtaji nimeukalia...lol

Shogangu we baki hapo hapo kwa wameshimiwa tunakufa na tai shingoni oesa ipo ila ndo kupangwa watu kama 200 he he he.
 
Mange kosa lailofanya ni kutosubiri response tu kutoka kwa tribela baaas mengine kawaida.
Sema tu hapa tunashadadia kwa mambo yake ya kutukana watu na leo zamu yake.

Yap
Na ndio ajifunze
Siku nyingine ahakikishe ana go ahead ndio aanze matangazo....
 
Shosti hata naelewaga basi... mi daily namuona na mishemishe za mapicha kwenye restaurants tu. Kuna comment nimeona amesema anafanya kwenye healthcare mange aende akapate ajira asampliment kipato cha mzungu na wapunguze madeni

Heheheheh

Hawa chaga na mange labda walichukuliana mabwana....

Maana sioni cha maana.

Hivi chaga si ndo alijuwa na mr kibamia prezo? Au nimemix majina????
 
Shogangu we baki hapo hapo kwa wameshimiwa tunakufa na tai shingoni oesa ipo ila ndo kupangwa watu kama 200 he he he.

Kama ndo hivyo bora na mie niwe scammer, huna Idea shost nije niibe?
 
Yap
Na ndio ajifunze
Siku nyingine ahakikishe ana go ahead ndio aanze matangazo....

He he chezea kimbelembele hadi blogu alikuwa hablogui.
Mara vuuup hollywoodshopaholics mie kiukweli nlijua yeye ni supplier na kweli alisema dealer wake sijui nini....
Aaaaaaa
 
Shosti hata naelewaga basi... mi daily namuona na mishemishe za mapicha kwenye restaurants tu. Kuna comment nimeona amesema anafanya kwenye healthcare mange aende akapate ajira asampliment kipato cha mzungu na wapunguze madeni

Mange kakanaza kumtukana tu linda mara Leyla mtoyo wa lb ryi ampe ajira akachukue hayo mawigi. Looooo angekuwa kisomi kidogo kwanza kumalizana na tribella afu waweke sawa.
Ndo aanze mitusi yake
 
Heheheheh

Hawa chaga na mange labda walichukuliana mabwana....

Maana sioni cha maana.

Hivi chaga si ndo alijuwa na mr kibamia prezo? Au nimemix majina????

Dada yangu na wewe umbea umejifunzia wapi?? (
Khaaaa ndo huyo huyo.
Sasa hivi ana mpopo
 
Shosti hata naelewaga basi... mi daily namuona na mishemishe za mapicha kwenye restaurants tu. Kuna comment nimeona amesema anafanya kwenye healthcare mange aende akapate ajira asampliment kipato cha mzungu na wapunguze madeni

Kah chaga baby anataka kumuajiri hi ni shida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom