Mange asutwa live

Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
Nimesoma hiyo blog yake amekashfu sana watu weusi kuhusu hii issue alafu kuna wajinga wanamsifia amejibu vizuri na inaonyesha ana tatizo la kupanic
Huu uzi una maisha mafupi sana huwa zikimgusa huyo dada zinaondolewa faster
Yaaa mange kapanic sana mpaka matusi.
Angehandle kisomi kidogo maana issue imekuwa tena ya chaggabarbie na lb.
He he he ila nimefurahi sana.
Yaani yapa nasoma michambo tu.
 
Nimesoma hiyo blog yake amekashfu sana watu weusi kuhusu hii issue alafu kuna wajinga wanamsifia amejibu vizuri na inaonyesha ana tatizo la kupanic
Huu uzi una maisha mafupi sana huwa zikimgusa huyo dada zinaondolewa faster

kakashifu sana eti chaga bebi bora hata Flora Lyimo

anauza chupi anapata hela ya kubadilishia mboga

Flora yuko anaumwa sijui kaanzaje kuuingiza kwenye wizi wake
 
Ngoja ninywe chai na muhogo kwanza nije nipate umbea

Mmbea mwenzangu wapi Dinazarde Kim nana
Yaani siku hizi msuto ig tu.
He he keshapangwa tayari afu wema kacoment kumtetea dada yake.
Usipojipanga hana kazi kampanga dada wa boss wake.
Yaani hapa kazi na umbea lol
 
Last edited by a moderator:
Aisee wanaweke mna roho nyeusi mnapoona mwenzenu anafanikiwa acheni roho mbaya na wivu alaa
 
  • Thanks
Reactions: naa
Mmbea mwenzangu wapi Dinazarde Kim nana
Yaani siku hizi msuto ig tu.
He he keshapangwa tayari afu wema kacoment kumtetea dada yake.
Usipojipanga hana kazi kampanga dada wa boss wake.
Yaani hapa kazi na umbea lol

Shoga hiki kigodoro nlianza nacho toka usiku...nikaenda kwa sinta nikakuta bado hajaamka...

Asubuhi nimedamkia kule bologini kwake...yani amejibu pumbaaa...halafu anavyoikandia ngozi nyeusi sasa...sijui anaona kaolewa na albino na yeye kashakua albino...lol

Umbea nao uwito mwenzangu....
 
Kwani yeye ni mzungu hadi akandie weusi anachekesha kweli.yeye hajiona wale wamemzidi ujanja chezea wa naija anafikiri shule ni ujanja ndo hvo biadhara sijui itakuwaje mwenyewe kapanikije
 
Shogangu Niwekee screen shots ya blogini kwake mie leo inakataa kufunguka.
Umbea kweli wito
 
Mange kosa lailofanya ni kutosubiri response tu kutoka kwa tribela baaas mengine kawaida.
Sema tu hapa tunashadadia kwa mambo yake ya kutukana watu na leo zamu yake.

hahahaaaaa hapo kwa muhimu.
 
Shogangu Niwekee screen shots ya blogini kwake mie leo inakataa kufunguka.
Umbea kweli wito

Shoga angu natumia mchina...mbona ningekuwekea...
Halafu ile misukule yake sijui anailisha pumba za wapi....inamteteaje...? full kumpa moyo....
 
Kwani yeye ni mzungu hadi akandie weusi anachekesha kweli.yeye hajiona wale wamemzidi ujanja chezea wa naija anafikiri shule ni ujanja ndo hvo biadhara sijui itakuwaje mwenyewe kapanikije

Kachambwa hadi kajisahau kama yeye mweusi....

Chezea michambo ya kizaramo wewe....
 
Shogangu wapenda umbea vitendea kazi huna. Heaven on Earth niwekee shapmshot kwa mange.
He he bibie kapanic matusi kibao.
Shoga angu natumia mchina...mbona ningekuwekea...
Halafu ile misukule yake sijui anailisha pumba za wapi....inamteteaje...? full kumpa moyo....
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1405497824270.jpg
    1405497824270.jpg
    57.5 KB · Views: 440
Last edited by a moderator:
Shogangu wapenda umbea vitendea kazi huna. Heaven on Earth niwekee shapmshot kwa mange.
He he bibie kapanic matusi kibao.

We si hutaki kuniunganisha na waheshimiwa first class....
Mjini msingi nanihii...sasa mwenzio mtaji nimeukalia...lol
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom