amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Yaaa mange kapanic sana mpaka matusi.Nimesoma hiyo blog yake amekashfu sana watu weusi kuhusu hii issue alafu kuna wajinga wanamsifia amejibu vizuri na inaonyesha ana tatizo la kupanic
Huu uzi una maisha mafupi sana huwa zikimgusa huyo dada zinaondolewa faster
Angehandle kisomi kidogo maana issue imekuwa tena ya chaggabarbie na lb.
He he he ila nimefurahi sana.
Yaani yapa nasoma michambo tu.