hahaha Mange leo kaipata na ye mwenyewe kesha admit kuwa kaanza kutumia bidhaa na kutoa ile trademark... angekua muwazi lakin ye akaminya kama yake. Silence sometimes mean NO labda yule dada alikua hataki kufanya biashara nae.. mashauzi clasic akaamua kuanza kufanya yake asifiwe......mtu ana MBA hapo ambayo it says a lot kuhusu business angekua kasoma community development si ingekua balaa....
halafu anasema hataki Shari mwezi huu ye alivyokuwa anamchambua kama karanga mume wa dida hakuyajua hayo yote. na anajichanganyaje sasa....
Mara oonh si deal na illegal immigrants hu deal na illegal immigrants halafu ushaandika page nzima kumuhusu.
HAJAJIPANGA WACHA WAMPANGE VIZURI.