Mange asutwa live

Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
Ndo hivo. Tulisema tukaitwa hater.. Budada bado saaana hata pic za website unaiba???

Aisee bora hao mana alikuwa ana wakamata watu sana mara kile ole wako uongee unaonekana hater sasa mambo hadharani pole yake mana deal limebuma tayari
 
Haya haya kumekucha.
 
Attachments

  • 1405468752044.jpg
    1405468752044.jpg
    64.4 KB · Views: 1,030
ule ni msuto live bila Chenga.....

haongeagi bila evidence... evidence ya receipt kununua bidhaa yangu hakukufanyi uwe mmiliki.
so far sijaona evidence ya maana zaidi ya kupanic na kushindwa kujibu hoja za msingi.

cheque aliyopewa na baba sijui babu miaka 20 inasemwa leo lols...
 
hahaha Mange leo kaipata na ye mwenyewe kesha admit kuwa kaanza kutumia bidhaa na kutoa ile trademark... angekua muwazi lakin ye akaminya kama yake. Silence sometimes mean NO labda yule dada alikua hataki kufanya biashara nae.. mashauzi clasic akaamua kuanza kufanya yake asifiwe......mtu ana MBA hapo ambayo it says a lot kuhusu business angekua kasoma community development si ingekua balaa....

halafu anasema hataki Shari mwezi huu ye alivyokuwa anamchambua kama karanga mume wa dida hakuyajua hayo yote. na anajichanganyaje sasa....

Mara oonh si deal na illegal immigrants hu deal na illegal immigrants halafu ushaandika page nzima kumuhusu.

HAJAJIPANGA WACHA WAMPANGE VIZURI.
 
ule ni wizi live na za mwizi 40. Me nilisema masters ya kuandika makombe km zingine zilivyo za chupi. Kiko wapi sasa
 
ule ni wizi live na za mwizi 40. Me nilisema masters ya kuandika makombe km zingine zilivyo za chupi. Kiko wapi sasa

Mara oonh wanamshuhudia uongo, Uongo wakati ye mwenyewe kakubali. hata mahakamani ataulizwa Mange ulitumia hukutumia jibu huwa YES or NO... mambo ya ndio lakin nilimtumiaga mails ni baadae....

eti this time amejibu zile nakala za gazeti la Rai anazoandikaga sijui pale huwa anafanyaje
 
Ashajielezea kwenye blog yake...na evidence juu...
 
Umbea kazi sana,ngoja nilale
 
Attachments

  • 1405485172886.jpg
    1405485172886.jpg
    51.1 KB · Views: 794
  • 1405485200477.jpg
    1405485200477.jpg
    93 KB · Views: 796
  • 1405485222183.jpg
    1405485222183.jpg
    96.5 KB · Views: 758
Ashajielezea kwenye blog yake...na evidence juu...

je alikopi hajakopi? Alitoa credit lwa mwenye mali au hakutoa?? Pale mbulula tu ndio wa kumielewa ILA kwa critical thinkers ule ni wizi. Period. Since washabiki wake wengi (sio wote ILA ni wengi) ni wa master za chupi a.k.a shallow minded km ile ya makombe watamuelewa tu
 
Nimebanwa na umbea lol natype wapi?akina mrs sembe,kissa watafurahi lol
 
Jamani simu yangu ina instgram ila sijui jinsi ya kuitumia kidude gani nasearch? Lol

si una account huko nenda kuna kidude ka kina

picha ya mtu.. uli click kitakuletea new page ambayo

kwa juu kina picha ka ya microscope we touch hapo itakuletea

search for user yoyote unaemtaka...............................................
 
je alikopi hajakopi? Alitoa credit lwa mwenye mali au hakutoa?? Pale mbulula tu ndio wa kumielewa ILA kwa critical thinkers ule ni wizi. Period. Since washabiki wake wengi (sio wote ILA ni wengi) ni wa master za chupi a.k.a shallow minded km ile ya makombe watamuelewa tu

Leo umenfurahisha.

Mie vitu nlishahama kwake siku nyingi nanunua kwa tillya rose na jafe clothing.
Kwanza yeye baada ya miezi 4 ndo wapata mzigo.
Khaaaaa yaani leo ngoja nikamtangaze.
Ngoja nikaingie kwa mama kijacho yara yara nikasome michambo.
 
Nimesoma hiyo blog yake amekashfu sana watu weusi kuhusu hii issue alafu kuna wajinga wanamsifia amejibu vizuri na inaonyesha ana tatizo la kupanic
Huu uzi una maisha mafupi sana huwa zikimgusa huyo dada zinaondolewa faster
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom