TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Kama ndo hivyo bora na mie niwe scammer, huna Idea shost nije niibe?
comments Kwa owner's ig
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndo hivyo bora na mie niwe scammer, huna Idea shost nije niibe?
Shosti weka snapnshoit kwa mange nione mivhambo ya kina baby mange na yosso wakimtetea boss wao.
Kah chaga baby anataka kumuajiri hi ni shida
Shosti weka snapnshoit kwa mange nione mivhambo ya kina baby mange na yosso wakimtetea boss wao.
Dada yangu na wewe umbea umejifunzia wapi?? (
Khaaaa ndo huyo huyo.
Sasa hivi ana mpopo
He he chezea kimbelembele hadi blogu alikuwa hablogui.
Mara vuuup hollywoodshopaholics mie kiukweli nlijua yeye ni supplier na kweli alisema dealer wake sijui nini....
Aaaaaaa
Haya shosti hii ni kwa uchache tu
Shogangu mgumu kuelewa khaaaaa.
Division 5 inakuhusu!!!!!
Bwana ya u turn siyo hiii.
Shogangu mgumu kuelewa khaaaaa.
Division 5 inakuhusu!!!!!
Bwana ya u turn siyo hiii.
Nimechoka nyingine baadae amu
Shogangu wapenda umbea vitendea kazi huna. Heaven on Earth niwekee shapmshot kwa mange.
He he bibie kapanic matusi kibao.
Same to ig alivyopost.
Hana jipya.
Ndo keshapangwa hivyo na kapangika.
Ila huyu na mdogo wake Wema sawasawa wote mashauzi bila mbinu.
Ni sheedar mamii
comments Kwa owner's ig
Alianza kwa kelele nyingi mno
Angefanya kama suprize mambo yakishakamilika