Hamtukani wema hata siku mojaaaWengine tumeshangaa Taarifa haina tusi hata moja?!
Labda kapona!
There is a thin line between love and hatragemnajidai hamumkubali mange ila 24/7 mnatembelea page yake kuangalia kapost nini
obsessed fun
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweliOh okay.
Sie wengine tulisemaga ni suala la muda tu kabla hajarudi CCM.
Shurba za kuwa upinzani zina wenyewe hizo hahahaaa.
Hata Da’Mange usimwone hivyo....ipo siku naye atarejea tu kundini alikotoka.
Sasa pale kwenye page yake ...sijaelewa mbona anasema anataka kufa?Wema atarudi CCM nna 90% hii habari ya kweli la sivyo anafungwa
Hayo ya kwako hayo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ya tununu ur so obsessed na tununuYaan nampenda kama nnavyompenda tununu
Hana lolote[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] anajivictimaiz tu kwa timu yake maana anaogopa atazidi kuyumbaSasa pale kwenye page yake ...sijaelewa mbona anasema anataka kufa?
What's goin on?
Ila duuh....mi naona maruweruwe tuuHana lolote[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] anajivictimaiz tu kwa timu yake maana anaogopa atazidi kuyumba
Kwa nini?Ila duuh....mi naona maruweruwe tuu
Ndiyo maana nilimuuliza 😀[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na habari za mange ye ndo hua wa kwanza kuzileta ila hampendi anakuambia
Huo muda sina mimi kwa sababu sipendi ligi ndogo!Kama unavyompenda zari na kumuongelea kwa mafumbo kila kona.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mmh aiseee