Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

Status
Not open for further replies.
Oh okay.

Sie wengine tulisemaga ni suala la muda tu kabla hajarudi CCM.

Shurba za kuwa upinzani zina wenyewe hizo hahahaaa.

Hata Da’Mange usimwone hivyo....ipo siku naye atarejea tu kundini alikotoka.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli
 
Wema kurudi CCM ilishaongelewa humu na @pascalmayalla na alitoa facts za kwa nini lazima wema arudi CCM na sio hizi porojo za huyu Mange Kimambi
 
Sasa pale kwenye page yake ...sijaelewa mbona anasema anataka kufa?

What's goin on?
Hana lolote[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] anajivictimaiz tu kwa timu yake maana anaogopa atazidi kuyumba
 
Mange kimambi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kama unavyompenda zari na kumuongelea kwa mafumbo kila kona.
Hayo ya kwako hayo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ya tununu ur so obsessed na tununu

Hata visivyomhusu wamuingiza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom