Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

Status
Not open for further replies.
Mwanza msiwabomolee nyumbazao ndo walionipa kura nyingi
 
Aliwahi kusema kwamba mh.hawezi kwenda Kenya, hadi siku ya tar.27 alishikilia msamamo wake kwamba haamini ,,na ikawa hivyo,so siku zote muda ni rafiki mzuri sana,,tusianze kumsimanga,muda ndio utamsimanga,let's wait
 
KUNA WATU WANAMWAMINI SANA MANGE JAPO HAJAONGEA YEYE,YAANI TAYARI ANAJADILIWA KABISA NA HICHO KILICHOANDIKWA KWA VILE KINAITUKANA CHAMA BABA-LAO BASI MTU BILA KUFIKIRI UTIMAMU WAKE WA AKILI ANAANZA KUJENGA HOJA...HII NI SHIDA
 
Wasihangaike kuwanunua hao watu wachache wengi tuko mitaani hatununuliki na wala hatufahamiki ila kwenye sanduku la kura ndo kwetu

Swala la ushindi haramu ni swala la muda tu.. Hata Mugabe alikuwa mkorofi hivyo hivyo
Kuporwa ushindi ndy tatizo utawala huu haundoki madarakani tena
 
Udaku upi umechoshwa wewe ndy nyie maccm ndiyo siku roho yako itakapobanwa utamtamani hata mange akusemee
 
Yanakuumiza nini si usisome lzma usome? Unawashwawashwa na nini?
 
Aliyesema watanzania ni kichwa cha mwendawazimu namtafuta nimpe laki 2 ndo uwezo wangu kwa sasa.
Unaweza ukawaburuza uwezavyo ukawaambia chochote waseme ndio ilihali hawajui kuwa uko wapi kigezo uwe na followers tu na uwezo wa matusi
 
Hivi Mange yuko Canada au US na je huko ana familia au mkimbizi?
 
Wanachama wa vyama vya siasa hawazidi milioni 4 pamoja na CCM. Taifa là Tanzania lina watu zaidi ya milioni 50.Hao watanzania wote wanaoishi maisha ya dhiki Sizonje atawafanya Nini wakati yeye ana shughulika na wana siasa kuwahonga warudi CCM ? Ni sawasawa na mtu kukimbia kivuli chake mwenyewe !
 
Kwa sababu da Mange kasema basi mimi nimekubali siwezi kumbishia da Mange kwakweli...
Watanzania ni wanafki, wansshangaa biashara ya binadamu Libya wakati hata Tanzania biashara hiyo ipo? Watu wanajiuza na kununuliwa kama machangu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…