Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

Status
Not open for further replies.
huyu mange aache makiki ya kipumbavu ya kumuhusisha mheshimiwa rais na upumbavu wa mama wema

Mama wema saiz yake ni akina stive nyerere

Hiyo nyumba ya mama wema inabomolewa kwa lipi? Iko kwenye hifadh ya barabara au iko wapi?

Mange asitake kuzan kila mtu ni rofa wa kuamini kila upumbaavu anaoandika

Huu upuuz wake hauna nafas kwenye tanzania ya leo

Mtu huhama chama kwa mapenz yake mwenyewe waache kutafuta sababu za kipuuz puuz hapa
raisi yupi? si huyu aliwapokea kwa mbewmbwe madiwani waliojiuzulu kwa rushwa. si huyu raisi aliyempokea kwa mbwembwr yule kijana wa ACT aliyeonekana kwenye video ananawa papuchi ya changudoa
 
Kwa sababu da Mange kasema basi mimi nimekubali siwezi kumbishia da Mange kwakweli...
Mange na wafuasi wake walikuwa wanashindq uchaguzi kwa picha za mikutano[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]

Ipo siku atajikuta yuko peke yake. Sidhani kama anajua hilo. Wanasiasa na siasa toka enzi na enzi hakunaga tofauti
 
Who is wema and her mother in politics compared with angry Tanzanians???
 
Familia ya Wema Sepetu ina Influence gani kwenye siasa za Tanzania? Ujinga mwingine umezidi mipaka
 
Mange kimambi Huyo. Umoja wa Kumsapot Mange alisemaga nyumba ya diamond ya south c yake, nillan c wake, tifa c wake, biashara za karanga na perfume c zake, bado kusema mbo* c yake
 
Hahahaa, eti warudi tena kwa kumsifia eti UNAFAA, udaku huu tushauchoka, kasimulie watoto.
Habari kama hizi tunasomaga tu ili kuifanya siku iende.
 
Huyu inaonekana yupo kwenye hili sakata la wema kurudi CCM, mbona kama kwake ni furaha, na huyo wema anajifanya kuhuzunika kinafiki, wanajua wanachokifanya
 
Wema atarudi CCM nna 90% hii habari ya kweli la sivyo anafungwa

Oh okay.

Sie wengine tulisemaga ni suala la muda tu kabla hajarudi CCM.

Shurba za kuwa upinzani zina wenyewe hizo hahahaaa.

Hata Da’Mange usimwone hivyo....ipo siku naye atarejea tu kundini alikotoka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom