Ila ukweli umefika kwani kuna la uongo kazungumza hapo
mahaba yanamsumbua huyu malaika
bora chama cha makabila mawili kuliko chama cha familia kama mgeja na wenzake walivyosema. chama cha familia ya msoga
dah, nimengua hii thread wakati nikibishana na jamaa hSafii mangekiambi
bora tuongozwe na chama cha makabila mawili 2 kuliko chma cha majambazi ya escrow, chama cha familia ya msoga,chama cha wang'oa meno bila ganzi
Ila ukweli umefika kwani kuna la uongo kazungumza hapo