Mange huko insta kuhusu CHADEMA na urais

Mange huko insta kuhusu CHADEMA na urais

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
ImageUploadedByJamiiForums1439828470.734889.jpg

attachment.php
 
"Watanzania wasipopata mabadiliko ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM " by J. NYERERE after all asitufundishe uoga hamna anaejua ya mbele na woga wako ndo umaskini wako
Mwinyi aliingia msafi akatoka Mchafu, Mkapa aliitwa Mr Clean katoka Mchafu, JK tulimwita hadi chaguo LA Mungu kilichotokea tu najuta.....
Ni bora tuchague Mchafu anaweza toka msafi
 
bora chama cha makabila mawili kuliko chama cha familia kama mgeja na wenzake walivyosema. chama cha familia ya msoga

Wakati mwanae anagombea kuteuliwa je Mgeja hakuona kama chama ni cha kifamilia?
 
Back
Top Bottom