Mange Kimambi aendelea kutesa na kufunika instagram

Status
Not open for further replies.
Natumai ntakuwa baba bora uko mbeleni
 
Team Mange hapa damu damu kitu chochote lazima aseme Mange ndo ntaamini.

Hapa Tz hakuna mtu anayeweza pambana na team domo chapati akabaki salama lakini Mange anawakimbiza na kwenda nao sambamba
Mange ni mpare mmoja anaishi kwa usa akili zake ameinvest insta kwasababu pesa Za kula anapewa na baba watoto wake...yule ukimfatilia sanasana utajifunza chuki zakipuuzi tu Hamna mtu pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange kwa uchambuzi sio mbaya sema anaroho mbaya yule mbinafsi hatarii akifanikiwa tuu ni adui yaani watu wote aliowatukana wako mbali kimaisha hiyo ndo shida ya madam matonya tuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana hajawahi msema mtu bila kumchomoza ,hata huyo Zari ndo alimuanza Mange kupitia maadui wa Mange
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…