yuko dar oysterbay polisi
nyuma ya nondo!
This ubunge thing is turning to be a joke now!
ndo dawa yake hiyoo
si alisemaga harudi bongo mpk after 5yrs...
njaa mbayaaa...hahhahaaaaaaa
shutuuuuuuujuu
mibao imemkolea mpk mikono ya nsembo kaiona bastola
nacheka kwa raha leo...!!!!
View attachment 268666
Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam.
Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwenye moja ya majimbo ya jiji la Dar.
Mpaka sasa yupo mikononi mwa Polisi akihojiwa kuhusu mienendo ya uendeshaji wa blogu yake na mitandao mingine ya kijamii.
Wangemuacha tu huko huko hadi baada ya uchaguzi
If this is true, then "Free Mange Kimambi".
I am not a fan of Mange. I am a fan of Freedom of Speech.
This just elevates Mange beyond her current status.
Cc Nyani Ngabu
tatizo lake huwa anaongea mpaka maneno ya kuombea samahani
Umemaliza mkuu..mahaba mengine ndio watu wanakuwa zezeta pengo anaita mwanyaAkili za watu wachache nazo ovyo kweli,nadhani hata inakua ngumu kutofautisha uhuru wa kuongea na kutukana/kudhalilisha watu swala la kupinga drugs tunamsapoti ila kutukana watu ni tatizo lingine mahaba yakizidi unakua ujinga
Evelyn Salt mwezi ukiandama tu leo nitafute nikutie eid ukale na wa kwenu kitaa.Akili za watu wachache nazo ovyo kweli,nadhani hata inakua ngumu kutofautisha uhuru wa kuongea na kutukana/kudhalilisha watu swala la kupinga drugs tunamsapoti ila kutukana watu ni tatizo lingine mahaba yakizidi unakua ujinga