iloveguinness
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 176
- 90
aseeee hii kingereza nimeipenda big up duuu dictionary plz
Kweli nimeamini muosha huoshwa. Aisee nikikumbuka alivyowaacha uchi Kiki Zimba na mumewe Maliki, Nacky, Teddy Kalonga etc. Yani wakijipanga kwenda oysterbay kumfungulia kesi hy foleni itafika TUNDUMA!!!
baba ake mwenyewe alikua drug lord mkubwa hapa town na bingwa wa kula viboga wake za watu leo ye ajione msafiHilo hawaoni hata hapa jf keshatukana sana huyu sura kma vampire.....kwani aseme tu flani muuza sembe wakti wauza sembe wako kibao 2,yeye akigombana n m2 ndio matusi yanaanza akae huko mpka j3
hahahaaaa ye s anajisifu kwao wana pesa kasoma amerika so kila mboni aombe fidia kubwa sana tu mana kwao hvyo ni vijisenti tuuuMwalimu acha kuchekesha 900m atoe wapi hata bwana yke n ukoo wke huko usa hawana huo mzigo labda.......huyu kapuku 2 w kuuza mitumba namuonaga akileta mzigo arusha kuna dada yangu nae mteja wake,maisha y kuunga 2 n sasa hivi kanataka ubunge atiii.
Nani akape ubunge hata tako l kushika ili upige mechi halipo sanasana tako la kusukuma uharo 2
muongo hata hajatishiwa bastola mnafki hatari na ishu iliyompeleka jela ni udhalilishaji wa mboni na mwanaweAnajitoa ufahamu eti kashikwa kisa kupiga vita drugs, anajisahaulisha matusi na udhalilishaji wake anaofanyia watu
freedom of speech na kutukana ni vitu viwili tofauti kakae huko huko tu wasikatoe
Kweli nimeamini muosha huoshwa. Aisee nikikumbuka alivyowaacha uchi Kiki Zimba na mumewe Maliki, Nacky, Teddy Kalonga etc. Yani wakijipanga kwenda oysterbay kumfungulia kesi hy foleni itafika TUNDUMA!!!
tena mla viboga na wake za watu piaBabake mwenyewe alikuwa muuzaji.. Mimi naomba apewe kifungo tu ili aache hizo tabia za kishenzi
mi pia mange akiongea inshu sensitive za kitaifa namuelewa sana ila sasa masuala ya watu binafsi ndo hapo anaponikera tena kuna mtu kamuumiza ndoa yake inaning'inia pia haruhusiwi kutumia smart ohone wala laptop ndo masharti ya msamaha hayoI real like her and I do pray atoke,but aache kuzungumzia mambo ya watu especially ambayo hayamuaffect yeye wala taifa,mfano habari za mboni zina faida gani kwa jamii zaidi ya kumdhalilisha mtu,mambo mengine ni privacy jamani.
Dah,
nimemuona mchana huu lock-up ya Oyestrbay Polisi huyu mdada, nasikia aliletwa hapo Jana kulala baada ya kuhojiwa na Polisi kule Makao Makuu.
Yaani anatia huruma sana aisee. Nasikia hakutishiwa bastola bali alinaswa vibao na Abdul Nsembo. Pia ukiacha Abdul Nsembo inatajwa kua issue yake imefika mpaka kwa "Mkuu" sababu huko nako huyu demu alichafua pia.
heyy wapambe wake hamna aliyeenda kulala nae pale ostabei polisiiii...??!!!!!
thubutuu!!!! hata jeuri ya kusogelea kituo hawana
heyy wapambe wake hamna aliyeenda kulala nae pale ostabei polisiiii...??!!!!!
Yeye alijua serikali haipo.!Dah,
nimemuona mchana huu lock-up ya Oyestrbay Polisi huyu mdada, nasikia aliletwa hapo Jana kulala baada ya kuhojiwa na Polisi kule Makao Makuu.
Yaani anatia huruma sana aisee. Nasikia hakutishiwa bastola bali alinaswa vibao na Abdul Nsembo. Pia ukiacha Abdul Nsembo inatajwa kua issue yake imefika mpaka kwa "Mkuu" sababu huko nako huyu demu alichafua pia.
Hao ndio wanaomtia ujinga,na issue zake anajimix sana,mara atukane familia za watu,mara wauza ngada,mara anataka ubunge.sijui ni bangi ama nini maana haeleweki.
kuongelea mambo ya unga ni kete tu anacheza.
ameumiza watu wengi sana huyu mwanamke kiukweli anahitaji kuchukuliwa hatua hasa.
im just feeling sorry kwa yule mtoto yuko abandoned na watu hawajui vizuri sa hii mama haonekani.
shame
Dah,
nimemuona mchana huu lock-up ya Oyestrbay Polisi huyu mdada, nasikia aliletwa hapo Jana kulala baada ya kuhojiwa na Polisi kule Makao Makuu.
Yaani anatia huruma sana aisee. Nasikia hakutishiwa bastola bali alinaswa vibao na Abdul Nsembo. Pia ukiacha Abdul Nsembo inatajwa kua issue yake imefika mpaka kwa "Mkuu" sababu huko nako huyu demu alichafua pia.
hahahaaaa...dah ama kweli mla nawe..hafi nawee
jinsi wanavyonshabikia na fake id zao sasaaa hahaaa
marichui,koku na wengineo kamtoeni bosi wenu lupango jamanii
Jana, alifikia Kituo cha Polisi Oysterbay kuripoti tukio la yeye kutishiwa Bastola hadharani na Abdul Nsembo, Mume wa Fashionista maarufu, Shamim Nsembo wa 80/20 Fashion Blog..
Movie ndio kwaanza imeanza..
View attachment 268670[/kumbe ndio mbaya hivyo! Lo
Hembu tiririka mkuu maana kuna uvumi kwamba walimfanya kitu mbayaBabake alikuwa muuza unga na mwizi wa wake za watu.. Akaja kuiba mke wa mbabe mmoja hivi, akaonywa akajifanya kuweka ngumu, akaendelea kuiba. Kilichompata ndio nahisi kinamfanya Mange aone watu wote ni adui zake hapa duniani..