Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mume wa Shamim anaweza akawa anafanya hiyo biashara haramu lakini bi dada anatake advantage yakumsokonyoa mara kwa mara kwakuwa tu ana ugomvi na mkewe.
Yeye kama mwanaharakati kweli yakutokomeza wauzaji basi afanye utafiti na kujua wauzaji nje ya huyo anayemuita Mr Sembe then mapambano anayoyataka ayafanye.Lakin kitendo cha kuleta uharakati kisa una bifu na mtu fulani ni upuuzi.
 
Nimepata namba ya marge kimambi ngoja nimchek, nimemzimia ghafla huyu dada
 
Hakuna harakati hapo zaidi ya bifu....nchi yetu inatakribani watu million 45 wakiwepo hao wauza unga,una mkamia mtu mmoja na dhahiri sote tunajua una ugomvi na mkewe.Jibu hupati tu?Halafu kama ni hvyo akamshitaki kama ana uhakika na hilo....nje ya hapo atakuwa ni debe tupu.Ameshasema nchi corrupt sasa analalamika hili nani achukue hatua ikiwa wananchi wana njaa zao wapo bize na kutafuta mia 2 Zao...wengine wanamsapoti nyuma ya keyboard.
 
Wanaomtetea wengi vilaza wenzake
kama kweli anawajua wauza unga akawashitaki na ushahidi sio kumshambulia mke wa mtu na familia yake kwa kivuli cha uharakati.
 
Wanaomtetea wengi vilaza wenzake
kama kweli anawajua wauza unga akawashitaki na ushahidi sio kumshambulia mke wa mtu na familia yake kwa kivuli cha uharakati.
Hana lolote wauza unga kashindwa Kikwete ataweza yeye?? anatumia gear ya kuingia bungeni
 
Wanaomtetea wengi vilaza wenzake
kama kweli anawajua wauza unga akawashitaki na ushahidi sio kumshambulia mke wa mtu na familia yake kwa kivuli cha uharakati.

Wajikusanye then wapaze sauti huenda watasikika.
 
Hana lolote wauza unga kashindwa Kikwete ataweza yeye?? anatumia gear ya kuingia bungeni

hata akoge vipi na marashi kujimiminia bungeni haendiiiiiii!!!!
Mumewe kamshindwa kamtoa nduki anakuja kuficha aibu kwa gia ya ubunge na uharakati!
 
Siwajui hao wote . . . . . .Kama wanatukanana au anawatukana wote watu wazima nchi ina sheria . . .tatizo liko hapo. . . . Najiuliza anasimamia nini kwa nguvu ipi na ushahidi upi??!!
Kwa nini yeye awe na gut za kuandika hayo yote na akatembea free. . . .

Najaribu tu kujiuliza labda ntaelewa. . . .
 
Najaribu kumuelewa huyu dada haswa baada ya kuandika (kama kweli) huo ujumbe baada ya kutoka sero. . . . . kuna kitu anasimamia yawezekana ana mapungufu yake lakini kuna anachosimamia

Mimi bado siamini kama amechukuwa fomu za kugombea ubunge kwenye kile chama chetu.

Kwa usalama wa afya yangu huko tuendako ni bora nihame nchi tu. Political position naona zimeshashuka hadhi hivi maana ya Vetting ni nini?
 
Bora ule pilau ujipumzikie ndugu yangu...ya huyu bibie ni ngumu kumeng'enyeka.
 
Ushahidi aliokuwa nao huyu bibie ni wa maneno ambao hauna nguvu yoyote....angekuwa na concrete evidence angeenda mahakamani kushitaki.

Kwa kifupi huyu bibie anataka kufia mikononi mwa watu kwa madai ya kuiandika historia.Haya tusubiri tuone
 
Kupata hapati hata yeye atakuwa anajua ila ni "popular culture" kwa "masupastaa" wa kibongo. . . . .ni kama wave tu inapita
 
Bora ule pilau ujipumzikie ndugu yangu...ya huyu bibie ni ngumu kumeng'enyeka.

Shukraaan ndio linaandaliwa hapa navuta hamu tu. . . . Labda wenye meno ndio wanamumg'unya hivi
 
Huyu mwanamke anatafuta kitu fulani na atakipata muda si mrefu.

Naomba tumpe muda.
 
Ushahidi aliokuwa nao huyu bibie ni wa maneno ambao hauna nguvu yoyote....angekuwa na concrete evidence angeenda mahakamani kushitaki.
Kwa kifupi huyu bibie anataka kufia mikononi mwa watu kwa madai ya kuiandika historia.Haya tusubiri tuone

Ha ha haaaa danh afie mikononi mwa watu tena. . . . .??!!!
Cha muhimu ni somo litalobaki . . . .Watu kuwa responsibke na matendo na maneno yao. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…