miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Ha ha haaaa danh afie mikononi mwa watu tena. . . . .??!!!
Cha muhimu ni somo litalobaki . . . .Watu kuwa responsibke na matendo na maneno yao. . .
Watu watasahau......ni kweli inshu ya madawa inaumiza sana.Lakin inategemea unaiaddress vp hyo inshu,Lakin huyu bidada anajulisha tu kuwa ana cha ziada kwa hao anaowaongelea.
Jamani naenda kupalilia pilau langu ha ha ha