Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Watu na mahaba yenu kwani unadhani hata kama anakosa mtaona? Wala hamuwezi...
Wala sina mahaba/team ila nimepitia post zake nyingi sijaona neno tusi kama wengi mnavyodai hapa zaidi ya mipasho ya ukweli
 
go go go Mange tunataka wabunge wasio waoga kama nyinyi, "the Ester Bullaya likes" !

Mpeni sifa za kijinga avimbe kichwa! unajua alipo Amina Chifupa! Tanzania siyo sawa na Marekani! Tanzania tunafanya show za kibabe
 
Uwiiii, so kwanza waliamua kudeal na kesi langu kubwaaaaa la kutukana kwa kutumia lugha ya matusiwakaacha ile ya Abdul Nsembo ya kutushia kuua….hahahhahahaha… Kesi yangu ilikuwa way moooore urgent..Jioni hii ndo wameanza kumsaka mume wa Shamim, kama wamempata lazma kalala huko maana……lol…Anyways issue ni kwamba dogo Jembe ndo alinisukia mchezo woooootejamani nikitulia ntawapa mkasa wooooote kiundani… Ila kwa ufupi nchi hii kiongozi anaweza kulipekesha jeshi lapolisi anavyotaka yeye yani in short kama isingekuwa nyie mafans mnafatilia niko wapi na nini kimenipata nahisi ningepotelea huko huko, yes it was that serious… lolApparently this blog imewa cost watu urais, which isn’t true hii blog haiwezi kumcost mtu anae deserve kuwa raisi urais ila wale wasio deserve labda….hhahaahhhaUwiiii jamani hivi mnajua dogo Jembe pulled all the strongs to make sure nakaa selo labda hata wikim mbili…Yani mimi kutoka leo ni kwamba na mimi nilipull all the strings ikabidi tu niachiwe..Yani roho imeniuma mnooo nilivyowaza kuwa je kama ningekuwa ni mtanzania wa kawaida nisiemjua mtu na mtu si ningekomaaaa…Jamani asikwambie mtu hii nchi haina sharia aiseeee, Mr Sembe knew exactly what he was talking about.. Jamani kilichoniliaza ndani jana ni kuwa nimeshtakiwa na mtu anaitwa Mbonie Masimba kuwa nilimtukana kwenye blog yangu na kumuita Malaya na kuwa anafi****. Hivi ana akili sawa yule mwanamke? unajua uongo mwingine bwana, hayo maneno kuyaandika tu humu siwezi…#Anyways, mwanzo walitaka kuweka kundi kubwaaaa la watu wanifungulie kesi ila watu wakaingia mitinijamani jana usiku Oysterbvay polisi ilizungukwa na wauza unga na matapeli wooote wa Dar unaowajua wewe kila mtu anafatilia Mange anakaa humo ndani mpaka lini? hahahahhaUwiiii jamani mwenzenu napotezwaaaaaaaa sooon… uwiiii hivi mnajua my life is actually in danger? watu hawataki kuwa exposed… Anyways, I now have 2 armed bodyguards hali itakuwa shwari##Jamani nimeambiwa nisiwaseme viongozi humu, yani niwakomeeeee, nimeambiwa niwaandike kajamba nani wenzangu ila viongozi nikomeeeeee la sivyoooo next time ntajutraaaa…Truth is wakiharibu ntaaandika tu sasa sijui itakuwaje#Anyways, chief anataka kunipotezaaaaaaaa…..hhahahahhaJamani sijawapeni story kwa utamuuuuuuuu, ngojeni wanirudishie laptop yangu na simu yangu niweze kublogua vizuriiii
 
If this is true, then "Free Mange Kimambi".

I am not a fan of Mange. I am a fan of Freedom of Speech.

This just elevates Mange beyond her current status.

Cc Nyani Ngabu

...freedom of speech has limits, just like any other freedom and rights, once you violate other's rights and freedom, automatically you have violated yours, that's what happened to her. So it is no right to say "free Mange" wakati mwingine tusiwe na -ve thoughts kwa vyombo vya dolar.

Besides atapelekwa kwa vyombo vya sharia na atakuwa haki ya ku prove what u called "freedom of speech" if she get succeed.
 
Wala sina mahaba/team ila nimepitia post zake nyingi sijaona neno tusi kama wengi mnavyodai hapa zaidi ya mipasho ya ukweli

Nadhani kwa vile umeanza kumfatilia last week.
Hujui previous posts zake.Tunaposema MATUSI ni matusi kweli.
 
Sio kila anayekutazama amevutiwa na wewe wengine wanadadisi asili ya chongo uliyonayo.
 
wanamchukia ila wanamkubali kimoyomoyo. kutwa kuperuz uturn na instagram page ya mange.

Wengine tunaingia kuthibitisha yanayosemwa na watu kuhusu ujinga wake
 
wanamchukia ila wanamkubali kimoyomoyo. kutwa kuperuz uturn na instagram page ya mange.

Wengine tunaingia kuthibitisha yanayosemwa na watu kuhusu ujinga wake

Eti kuna watu wanamkubali Mange?? Wasio na akili kama yeye ndii wanaweza kumsupport na Ubunge wamemwambia asigombee sababu kadhalilisha chama tawala sasa alivyomuongo eti familia imenikataza mbona hawakukukataza wakati unaenda kuchukua form? Au hukuwaambia? Sasa kimeenda ku Google jina La Idd Azzan m imekuja Idd Azzan muuza madawa ya kulevya sasa nendeni mka Google jina la mange kimambi m muone inakuja nini ha ha ha inakuja mange kimambi malaya basi na yeye ndio kazi yake kama yeye anam judge Idd Azzan kwa Google basi na yeye ni malaya, jino kwa jino in Lemutuz voice
 
Huyu mwanamke ni mpuuzi na tangu ndoa yake imekuwa na mushkeli ndio kawa mpuuzi zaidi, huwezi tukana watu wako ambao walikuwa marafiki hata kama mmekwaruana, huwezi tukana watu wazima hata kama huna unachopata toka kwao, huwezi anika ugonjwa wa mtu yoyote hata kama wewe ni daktari bingwa, huwezi kuropoka baya kwa kiongozi hadharani ukitafuta kuungwa mkono na watu wastaarabu. Anadanganywa na misukule, ndio misukule kwa kuwa wanaomsaport wote wanatumia ID FAKE kwenye blogg yake, na wameshaanza kuwa na hofu kwa kuwa laptop yake iko polisi wana hoji hawatajulikana? Sasa ndio ajue hakuna atake muunga mkono popote atakapo kuwa hata wakimkuta mabwepande watamkimbia only mtu mwenye uelewa finyu ndio ataenda kumshika mkono, ameharibu mno ameaibisha familia za watu mno, ameharibu hata muonekano wa Dr. mwele, kwa kuwa mama wa watu kasasambuliwa only because walitaka kumuumiza mange kama yy alivyoumiza watu, akae alee watoto wake. Kweli Frank Gonga aliona mbali hafai kuwa mama wa famili kwa familia za kiafrika, abaki na hao wazungu ndio wamezoea watu wapayukaji kwa kigezo cha freedom of speech.
 
Bora kabisa amejinusuru KUKATWA.Naona aliota ndoto ya kusue jeshi la police.
Kajikata kabla hajakatwa na CCM.
Cc: evelyne Salt
 
Last edited by a moderator:
Bora kabisa amejinusuru KUKATWA.Naona aliota ndoto ya kusue jeshi la police.
Kajikata kabla hajakatwa na CCM.
Cc: evelyne Salt

Ni kweli hagombei tena? Toka USA mpaka kinondoni si garama ndogo ati, he kacheza kombolela mchana! kajificha mwenyewe na kujifichua mwenyewe, kazi anayo.
 
Kaanza tena kumuanika Abdul kisa nyumba ndogo, alivyoandika kishabiki ili kumuumiza shamimu, huyu mwanamke ana roho kutu kweli, eti shamimu apendwe kwa shepu ipi? Huyo hawara ana shepu mbona hajaolewa? Shamimu hana shepu bali ndo mke, huyu ndio msomi eti mbunge mtarajiwa kazi ipo.
 
Kaanza tena kumuanika Abdul kisa nyumba ndogo, alivyoandika kishabiki ili kumuumiza shamimu, huyu mwanamke ana roho kutu kweli, eti shamimu apendwe kwa shepu ipi? Huyo hawara ana shepu mbona hajaolewa? Shamimu hana shepu bali ndo mke, huyu ndio msomi eti mbunge mtarajiwa kazi ipo.

Yaani anapenda chokochoko....ili mradi shamimu aumie.Kaiandika kishabiki huyo.
 
Back
Top Bottom