witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mi alshaniblock page zake na kwenye blog pia
Haaa haaa unakosa uhondo ndugu! Kichambo kama kawa yaani ni full kuendeleza libeneke! Asee nimecheka hadi bac...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi alshaniblock page zake na kwenye blog pia
Mi alshaniblock page zake na kwenye blog pia
Mi alshaniblock page zake na kwenye blog pia
Wala sina mahaba/team ila nimepitia post zake nyingi sijaona neno tusi kama wengi mnavyodai hapa zaidi ya mipasho ya ukweliWatu na mahaba yenu kwani unadhani hata kama anakosa mtaona? Wala hamuwezi...
Hell Noo!
There is no freedom without limitations!Every human right is subject to exceptions and limitations.
go go go Mange tunataka wabunge wasio waoga kama nyinyi, "the Ester Bullaya likes" !
If this is true, then "Free Mange Kimambi".
I am not a fan of Mange. I am a fan of Freedom of Speech.
This just elevates Mange beyond her current status.
Cc Nyani Ngabu
Ikitokea issue ya Mange, povu linakutoka duu
Wala sina mahaba/team ila nimepitia post zake nyingi sijaona neno tusi kama wengi mnavyodai hapa zaidi ya mipasho ya ukweli
Jimbo lenyewe Ubungo atii, duh, kweli ana malezi makengeza, anyway kwani hakuwa na influence ya kuepuka kutokuwa na akili mgando
wanamchukia ila wanamkubali kimoyomoyo. kutwa kuperuz uturn na instagram page ya mange.
Wengine tunaingia kuthibitisha yanayosemwa na watu kuhusu ujinga wake
Bora kabisa amejinusuru KUKATWA.Naona aliota ndoto ya kusue jeshi la police.
Kajikata kabla hajakatwa na CCM.
Cc: evelyne Salt
Kaanza tena kumuanika Abdul kisa nyumba ndogo, alivyoandika kishabiki ili kumuumiza shamimu, huyu mwanamke ana roho kutu kweli, eti shamimu apendwe kwa shepu ipi? Huyo hawara ana shepu mbona hajaolewa? Shamimu hana shepu bali ndo mke, huyu ndio msomi eti mbunge mtarajiwa kazi ipo.