Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
mbona your so yesterday khaaaaaa ,unadhani utapata credit hapa jamiii forum???hell no tumiaa tu lughaa ya kawaidaaaa usidhani ukitumiaaa lughaa za dictionaries ndo utaonekana mjuaji.....may b ungeandikaa kichinaaaa kingerezaaa nowdayz ni kama local beer.....so relax!!!I'm out!
Kule maisha magumu heri huku watoto watakorogewa uji maisha yatasonga
Ubunge mwaka uu aisee sio ka miaka mingine miteremko mingi.Cha kushangaza kila mtu anataka kugombea. I wish her all the best. Hivi asipochokonoaga watu hasikiii raha.Watu wanadhani ubunge rahisi...
Wenzie washajikomba ngazi za chini vya kutosha yeye ndani ya miezi 2-3 atawezaje kupenya???
Anyway tunawatakia mafanikio mema...
Mbona alisema wao wanamijihela ndio maana wanakaa kwenye mtaa usio na watu weusi
Kwanini na yeye sasa arudi tz wakati huu wakati anajua anamaadui wengi?kwanini asitulie tu USA ale maisha.
Watu wanadhani ubunge rahisi...
Wenzie washajikomba ngazi za chini vya kutosha yeye ndani ya miezi 2-3 atawezaje kupenya???
Anyway tunawatakia mafanikio mema...
Ubunge mwaka uu aisee sio ka miaka mingine miteremko mingi.Cha kushangaza kila mtu anataka kugombea. I wish her all the best. Hivi asipochokonoaga watu hasikiii raha.
Kasema karudi for good
Kasema karudi for good
Kwa hiyo karudi na watoto wake ?
Kasema karudi for good
mhh..naona anazuga tu sijui kama ni kweli.time will tell, lets wait.
Mie naona wote waliotukanwa na Mange waende kumfungulia mashitaka hata viongozi kama Mh Lowassa Mh Makamba Mh Ridhiwani Mh J.M Kikwete na watu wote maana hata huyo anye muita mr sembe hajamtishia na bastora sema alienda na kumzaba mabao tu sasa kwa yeye alivyo akaona amchafue kwa kusema alimtolea bastora nani mwenye akili timamu akamuwekea bastora mtu mwenye Mange? Stop bullying people you'll live peaceful wewe dada.
Kwenye Istagram kuna picha ya watoto wake wale wawili sijui kama na Bhoke karudi au kaenda UK kwa baba yake