Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

mbona your so yesterday khaaaaaa ,unadhani utapata credit hapa jamiii forum???hell no tumiaa tu lughaa ya kawaidaaaa usidhani ukitumiaaa lughaa za dictionaries ndo utaonekana mjuaji.....may b ungeandikaa kichinaaaa kingerezaaa nowdayz ni kama local beer.....so relax!!!I'm out!

Kick rocks and die.
 
Watu wanadhani ubunge rahisi...
Wenzie washajikomba ngazi za chini vya kutosha yeye ndani ya miezi 2-3 atawezaje kupenya???

Anyway tunawatakia mafanikio mema...
Ubunge mwaka uu aisee sio ka miaka mingine miteremko mingi.Cha kushangaza kila mtu anataka kugombea. I wish her all the best. Hivi asipochokonoaga watu hasikiii raha.
 
Who is mange.?plz someone tel me ni nani huyu dada,ana sexy body though.!!
 
Watu wanadhani ubunge rahisi...
Wenzie washajikomba ngazi za chini vya kutosha yeye ndani ya miezi 2-3 atawezaje kupenya???

Anyway tunawatakia mafanikio mema...

Hiyo sura kma mlinzi wa kk nani ampe ubunge mana kupiga game hapo lazma ujitoe akili.....konyagi,sminorff,camimo,zapa plus zanzi pia b4 mechi unakamulia ndimu nyingi,iliki,mdalasini kwenye k yake hapo unaweza piga bao moja kwa kujilazmisha
 
Asipochokonoa watu tutapataje ubuyu wa mujini?????? Ukiondoa madhaifu mengine Tatizo Mange hana kifua....sasa mwisho lazima ugombane na mashosti woooooote...

Yaani kama nawaona watakuwa wanagongesha glass tu... na hivi ushosti wenyewe wa mashaka...


Ubunge mwaka uu aisee sio ka miaka mingine miteremko mingi.Cha kushangaza kila mtu anataka kugombea. I wish her all the best. Hivi asipochokonoaga watu hasikiii raha.
 
Team kuropoka tu huyo hana la zaidi!
Kuna njia nyingi za hukakikisha unapata attention ya watu..., ya Mange ni kuropoka!!
 
Mie naona wote waliotukanwa na Mange waende kumfungulia mashitaka hata viongozi kama Mh Lowassa Mh Makamba Mh Ridhiwani Mh J.M Kikwete na watu wote maana hata huyo anye muita mr sembe hajamtishia na bastora sema alienda na kumzaba mabao tu sasa kwa yeye alivyo akaona amchafue kwa kusema alimtolea bastora nani mwenye akili timamu akamuwekea bastora mtu mwenye Mange? Stop bullying people you'll live peaceful wewe dada.

hhhwhahaaaa katiwa vibao...?!!
safi sana naomba aliyempiga nimpe ofa bureee soda kwa mangii....

ujanja wote uleee kakubali kupigwa vibao...

hhahaahahaaahhhaaa...!!
 
Back
Top Bottom