Angefanyajee kachezea mabao ya haja tu alafu kamsingizia kaka wa watu eti kamtishia na bastora mjinga sana yule demu.
Ina maana akipata ubunge anabaki bongo?
naona anajiamini sana.Yaani mange naye kachemka kweli.amerudi wakati ambapo anajua kabisa amejikusanyia maadui wa kutosha!! Na hapo lowasa hajafanya yake.
Dah hongera zako Mungu akulinde na kukufanikisha azma ya moyo wako aisee. I do believe utaupata tu wewe jembe la nguvu. nifah njo mu wish jembe letu la nguvu kwenye ubunge.miss u to babe..
nipo mpenzi mambo mengi na mie nimetangaza nia so ukiona kimya ujue niko jimboni kwenye kampeni..
Kamwe hatopata ubunge!Ina maana akipata ubunge anabaki bongo?
mkuu mjini hapa,we unafikir anaongea tuu,ukiona hivyo anajiamini na defence mechanism yake.
Mmmmmmhhhhh nani ampe na mdomo ule
ndo dawa yake hiyooMboni amefanya la maana hakujibishana naye amefata sheria zote. Nadhani na yoyote atakaye mzalilisha bora kumshtaki.
Hahahahahahahahahaha miaka mitano imekua mwaka mmojando dawa yake hiyoo
si alisemaga harudi bongo mpk after 5yrs...
njaa mbayaaa...hahhahaaaaaaa
shutuuuuuuujuu
mibao imemkolea mpk mikono ya nsembo kaiona bastola
nacheka kwa raha leo...!!!!
Tatizo anaweza kuachiwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha! Hivi mboni ali print yaliyo andikwa?Halafu cyber law bado haijatungiwa kanuni elekezi kwa hiyo anaweza kuachiwa japo lazima atakoma kutukana watu mitandaoni!Leo mchana Mange kakamatwa na jeshi la polisi kwa kosa na kudhalilisha watu mtandaoni na aliemshitaji ni Mboni, siku za nyumba Mange alimtukana sana Mboni na kumkashifu na kumuita majina yote kama muuza k ni malaya na pia alimtukana mwanae Mboni.
Leo mchana Mange kakamatwa na jeshi la polisi kwa kosa na kudhalilisha watu mtandaoni na aliemshitaji ni Mboni, siku za nyumba Mange alimtukana sana Mboni na kumkashifu na kumuita majina yote kama muuza k ni malaya na pia alimtukana mwanae Mboni.
Angefanyajee kachezea mabao ya haja tu alafu kamsingizia kaka wa watu eti kamtishia na bastora mjinga sana yule demu.
Pia alisema akifa azikwe Marekani sasa bongo karudi for good according to herndo dawa yake hiyoo
si alisemaga harudi bongo mpk after 5yrs...
njaa mbayaaa...hahhahaaaaaaa
shutuuuuuuujuu
mibao imemkolea mpk mikono ya nsembo kaiona bastola
nacheka kwa raha leo...!!!!
Waliosema kuweka akiba ya maneno hawakukosea kabisa sasa hapo si kasaliti kauli yake mwenyewe.ndo dawa yake hiyoo
si alisemaga harudi bongo mpk after 5yrs...
njaa mbayaaa...hahhahaaaaaaa
shutuuuuuuujuu
mibao imemkolea mpk mikono ya nsembo kaiona bastola
nacheka kwa raha leo...!!!!
Yule aliyemtishia bastola alikosea alitakiwa kumpiga hata ya kalio ili iwe fundisho!ile blog itamsababishia matatizo makubwa huyu anatumia kama silaha ya kuwaumizia watu.voda sijui bado wanamdhamini.
Hahahahahahahahahaha miaka mitano imekua mwaka mmoja
Huyo jamaa hakumpiga na viboko?Angefanyajee kachezea mabao ya haja tu alafu kamsingizia kaka wa watu eti kamtishia na bastora mjinga sana yule demu.
Nilimuona kamu post Keanu tu bhoke na kenzo kawaacha nini.Kasema karudi for good