Non-Shatter
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 597
- 266
Dah
Huu ubunge ushakuwa shida...kila mtu anautaka...... sijui atakuwa anakuja kipindi cha bunge au ndio familia itahamia huku
Kumbe hii kali
Kumbe mange keshatoka??? Ndio maana hakuna mashamsham insta...
Ila Yule babu posti zake siziaminigi kabisaaaa...dakika mbili tu anafuta..... huwa anapenda kiki mjini hapa
Mmmh huu ubunge nawaachia kina uwoya..sepetu..steve na mange... mie siuwezi
Huyo jamaa hakumpiga na viboko?
Anaweza akabahatisha na kupata kiutani hivi hivi.Mmmmmmhhhhh nani ampe na mdomo ule
Teh Teh kwa hiyo alipoteza network hadi kashindwa kutofautisha kati ya kiganja na bastola? Alitakiwa atembee na kiboko na angemcharaza kabisa...hahahaaaaaaaaa...alichanganyikiwa jamani..
mikono kaiona pistooo...
nachekaje sasaaaa....!!
hureeeeeeer nsemboooooo..!!
vibao vya KELBU bwana hapana..!!
vinaumiza haswaaaa!!!
Nilimuona kamu post Keanu tu bhoke na kenzo kawaacha nini.
Dah hongera zako Mungu akulinde na kukufanikisha azma ya moyo wako aisee. I do believe utaupata tu wewe jembe la nguvu. nifah njo mu wish jembe letu la nguvu kwenye ubunge.
Anaweza akabahatisha na kupata kiutani hivi hivi.
Yule aliyemtishia bastola alikosea alitakiwa kumpiga hata ya kalio ili iwe fundisho!
Kazi ipo hapo wanaompampu watajulikana na aliowatukana
Kumekucha
Daaa hii ya vibao kweli imemshushia heshima kama yeye ambavyo hufanya kwa wengine! Na lemutuz anamfungulia case Baba haji kwa kumtukana mitandaoni kisa mchango wa harusi..mwaka huu tutaona mengi! Lakini kwanini huyo jamaa hakumtandika viboko Mange?Waliosema kuweka akiba ya maneno hawakukosea kabisa sasa hapo si kasaliti kauli yake mwenyewe.
Majuui napo si Ku rahisi naona kaona aje kujaribu bahati yake ya uheshimiwa anaweza kuupata.
Hivi ni alionyweshwa bastola au alipigwa vibao. Inaonyesha hvo vibao ni hatari aisee.
Nitakuombea wewe ni mpambanaji wa nguvu.ameen ameeen..!!
thnx my dear mpk kieleweke mwaka huuu!!!
endelea kuniombea tuu!!
It most definitely does.
They are putting her on a pedestal on which she doesn't belong.
She has the right to be stupid and spew drivel on her blog.
But at the same time she can't be given carte blanche to libel people.
Hahaaaaaa kweli aisee hadi kina Wastara Thea, Uwoya. Mwaka huu tutashuhudia mengi.This ubunge thing is turning to be a joke now!
Daaa hii ya vibao kweli imemshushia heshima kama yeye ambavyo hufanya kwa wengine! Na lemutuz anamfungulia case Baba haji kwa kumtukana mitandaoni kisa mchango wa harusi..mwaka huu tutaona mengi! Lakini kwanini huyo jamaa hakumtandika viboko Mange?
Nitakuombea wewe ni mpambanaji wa nguvu.
Nikivuta picha ya tukio lazma alitetemeka mno alivomuona mange nimwañdikaji mzuri ila kumu face mtu direct ni ngumu kwake. Mtu mzima kupigwa vibao ni fedheha hafu shamimu akawa ana mwangalia.Daaa hii ya vibao kweli imemshushia heshima kama yeye ambavyo hufanya kwa wengine! Na lemutuz anamfungulia case Baba haji kwa kumtukana mitandaoni kisa mchango wa harusi..mwaka huu tutaona mengi! Lakini kwanini huyo jamaa hakumtandika viboko Mange?
jamaa alikuwa ana msumbua Lemutuz kumkumbusha mchango aliyo ahidi,sasa Le big show akakerwa akamsema lakini hakumtaja jina...!Hahahahahahahahahahahahaha kisa mchango wa harusi? Ulifanyaje?
Yule aliyemtishia bastola alikosea alitakiwa kumpiga hata ya kalio ili iwe fundisho!